mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,396
NI vema ieleweke kuwa Lowasa amepata waungaji mkono toka Ukawa na wanaCCM maslahi na wale wasiojifaham kabisa na kutokuwa na upande wowote wao ni fuata upepo na tia maji tia maji. Walioipigia CCM kura ni watu wanaojitambua wakiwemo wana CCM. Ki ukweli Lowasa ni vema atambue kuwa hakubaliki na watanzania. Asijidanganye na wahudhuriaji wa mikutano wasiowapiga kura.
kama ZEC NA NEC wapo ccm hata wangemsimamisha wema wangeshinda tu
Angeshindwa kwa tume ipi? nec au zec