Kwa kweli mengi yanaongewa kuhusu ccm, naweza sema changamoto hz zingekijenga chama bt mambo ni tofauti. Kila siku MAKAIYA WA KUHENGA AMEKUWA AKIWATAKA WANACHAMA NA VIONGOZI WAKE WAJIPANGE. Lakin yote yasemwayo ni km upepo upitao, hawasikii, nawezasema nikama sikio la kufa ! Tukichukuliaje, tukielewaje, kimekuwaje chama hiki? Coz mambo yake km chama dola ni matatizo kwa wananchi!