Friday Malafyale JF-Expert Member Jan 18, 2017 1,808 2,911 Feb 1, 2017 #1 Inauma lakini hakuna namna.
K kiogwe JF-Expert Member Oct 24, 2012 3,757 4,939 Feb 1, 2017 #2 Usijaribu mkuu Mungu Mungu atakulaani
Friday Malafyale JF-Expert Member Jan 18, 2017 1,808 2,911 Feb 1, 2017 Thread starter #3 Asante Lumumba buku 7
K kirimirimi JF-Expert Member Jul 31, 2015 287 194 Feb 1, 2017 #4 Kwani si ndio mambo yao hayo we unaahangaa nin?
Mbulu JF-Expert Member Apr 15, 2015 5,620 5,513 Feb 1, 2017 #6 Na wapiga mizinga wengi ni jamaa wa ccm.....
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,760 10,146 Feb 1, 2017 #7 Pale mambo ya siasa yanapotufanya tukoswe ubinadam kwanza ccm ni kitu gani hicho ni mtu au ?
MasterP. JF-Expert Member Jun 5, 2013 8,053 6,388 Feb 1, 2017 #9 Mkuu kwa picha hiyo na huo ujumbe unafanya uchochezi....
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Sep 19, 2016 5,239 6,098 Feb 3, 2017 #10 tena Huyo ajakutana na mm ningemnyanganya na hio bukta nimwache na hio shati