Toa facts. Yaani watu wanaopenda CCM akili zenu zinatoa definition ya umasikini wa Tanzania. Kwa akili kama hizi kuongoza nchi hatuwezi kufika popoteKwa kweli waliokuwa wanasema kikwete ccm itamfia mikononi mwake imekula kwao... hii ndo ccm ninayoijua mimi big up jk,kinana,nape,migiro kazi kweli mmeifanya na mnaifanya na mumeona jinsi wananchi walivyona matumaini na imanj na ccm na serikali... zungukeni nchi nzima toeni sumu za machafuko chuki uongo zilizosemwa na kina lema sugu mbowe slaa msigwa
Wachaga nao ni watanzania, siyo? Au mama yako alikwambiaje?Chama cha wachaga ndio hatari kuliko vitu vyote Tanzania hii
Ukiona kijana kama wewe anaitetea na kuishabikia magamba, jua akiwa mzee atakuwa mchawi.endelea na ngonjera zenu na mzee wa tembo.Kwa kweli waliokuwa wanasema kikwete ccm itamfia mikononi mwake imekula kwao... hii ndo ccm ninayoijua mimi big up jk,kinana,nape,migiro kazi kweli mmeifanya na mnaifanya na mumeona jinsi wananchi walivyona matumaini na imanj na ccm na serikali... zungukeni nchi nzima toeni sumu za machafuko chuki uongo zilizosemwa na kina lema sugu mbowe slaa msigwa
mkuu ccm sio chama cha kuendelea kuiongoza tanzania, wamejaa wasanii watupu, kina nepi...wanakula mamilioni kwa kupitia mgongo wa masikini wa kitanzania. Kwa mfano kutekeleza ilani ya maisha bora kwa kila mtanzania imekuwa shughuli pevu!Kwa kweli waliokuwa wanasema kikwete ccm itamfia mikononi mwake imekula kwao... hii ndo ccm ninayoijua mimi big up jk,kinana,nape,migiro kazi kweli mmeifanya na mnaifanya na mumeona jinsi wananchi walivyona matumaini na imanj na ccm na serikali... zungukeni nchi nzima toeni sumu za machafuko chuki uongo zilizosemwa na kina lema sugu mbowe slaa msigwa
Kwani inarudi toka wapi? Wewe kuona watu kwenye mikutano ya Kinana wale wanao sombwa na malori unafikiri inarudi pole sana.Kudanganywa inaruhusiwaKwa kweli waliokuwa wanasema kikwete ccm itamfia mikononi mwake imekula kwao... hii ndo ccm ninayoijua mimi big up jk,kinana,nape,migiro kazi kweli mmeifanya na mnaifanya na mumeona jinsi wananchi walivyona matumaini na imanj na ccm na serikali... zungukeni nchi nzima toeni sumu za machafuko chuki uongo zilizosemwa na kina lema sugu mbowe slaa msigwa
Nawashangaa wanafikiri wakisema cdm cha wachagga watu wataichukia.Nikete za kijinga.Kama wanafaa kuongoza kunatatizo gani.Mbona serikali ya ccm imejaa waislamu watupu mbona hilo hawasemi.Ni udogo wa mawazoWachaga nao ni watanzania, siyo? Au mama yako alikwambiaje?