Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 20,410
- 38,702
Kwa mwenyekiti wa CCM kusema hadharani kwamba kuna "Vijana" 46 ambao walipambana kufa na kupona kwenye mitandao na kufanikiwa kukiletea chama hicho ushindi wanastahili tuzo, kunazua maswali lukuki.
Hao vijana walikuwa wanafanya nini hasa mitandaoni. Walikuwa wanadukua (Hacking) taarifa za wapinzani wa chama chao, waliwahi kufanya udukuzi wa taarifa binafsi kwenye mtambo ya Kampuni za simu kuona taarifa mbalimbali za wapinzani wao?
Jee hao vijana ambao (ingawa neno vijana kwa lugha za wanasiasa wetu si lazima wawe kweli ni vijana kwa maana ya umri) wametakiwa wapewe tuzo tena si na CCM bali anayeambiwa awape tuzo ni Rais, kwenye hizo harakati zao za kukitetea chama chao mitandaoni hawakuwahi kufanya uhalifu wa mitandaoni dhidi ya wapinzani wa chama chao!?
Lakini CCM inafaidika nini na kundi hilo la watu 46, na jee kundi hilo bado lipo na limebaki CCM au wengine wameingizwa kwenye mfumo rasmi wa serikali?