Kha! Kwa hiyo mheshimiwa Rais ni Rais wa kifo?Hakupitia mchujo wowote, na hakuwahi kugombea Urais.
Ni Rais sababu ya KIFO, Si uchaguzi.
Ccm wawe jasiri kuachana na huu utaratibu wa sasa. Unaweza kuja kuwaletea madhara ikiwa wananchi watamkataa kwa kura nyingi. Isitoshe rais si malaika, anaweza kuwa dhaifu nchi ikaharibika, miaka 10 si mchezo kuja kurekebisha. Ipo siku huu ubabe utafika mwisho, tuangalie historia ya nchi jirani kama Zambia, Malawi, Kenya... ipo siku
Sasa kwanini mnamtukana na mnawalipa watu wamtukane mwanamke pekee daktari wa madaktari
Ni mtazamo wako!Sasa kwanini mnamtukana na mnawalipa watu wamtukane mwanamke pekee daktari wa madaktari
Wewe unaamini hata akishindanishwa. na Musukuma, atashinda?Bila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia.
Tumesikia kelele za baadhi ya viongozi wa CCM kuwa eti mwaka 2025, kwa upande wa CCM, itachapishwa fomu moja tu ya mgombea wa Urais, nayo atapewa Rais Samia.
Mimi nauona huu udhalilishaji dhidi ya Rais. Tafsiri ya kuchapisha fomu moja ni kwamba Rais Samia akishindanishwa, hawezi kushinda. Je, fikra hizo zina ukweli wowote? Kwa nini wamfanyie hivyo Rais Samia?
Ni nani hao ambao wanaamini kuwa Rais Samia akishindanishwa nao, hawezi kuwashinda? Ni hawa hawa wateule wake au kuna wengine?
Hii awamu karithi, sasa kama karithi ni awamu ya ngapi karithi? Si ya pili? Utaratibu upoje kwa awamu ya pili?Nchi ina matahira wengi sana, jitu mpaka leo halijui hata utaratibu wa CCM mgombea anapogombea awamu ya pili.
Ngoja nikuulize mleta mada, eti una mtoto?
1995 Mkapa alishindanishwa na Jakaya Kikwete na Cleopa Msuya n.kNgoja
Mkapa 2000 alishindanishwa na nani?
Kikwete 2010 alishindanishwa na nani?
Shujaa Magufuli 2020 alishindanishwa na nani?!
Niko pale......
Membe alikuwa mwepesi zaidi ya pamba. Alienda ACT Wazalendo kugombea urais akaambilia kula 80k hata Sugu wa Mbeya alikuwa na ushawishi zaidi ya mwanausalama mbobevu.Habari ndio hiyo......hata Magu asingemshinda Membe.
We ulijua wa kipara tako?!Ni mtazamo wako!
Hiyo ni tafsiri Yako lakini utamaduni wa ccm awamu ya Pili Rais hashindanishwi na mtu Toka enzi za JK, Magufuli na Sasa CCM.Bila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia.
Tumesikia kelele za baadhi ya viongozi wa CCM kuwa eti mwaka 2025, kwa upande wa CCM, itachapishwa fomu moja tu ya mgombea wa Urais, nayo atapewa Rais Samia.
Mimi nauona huu udhalilishaji dhidi ya Rais. Tafsiri ya kuchapisha fomu moja ni kwamba Rais Samia akishindanishwa, hawezi kushinda. Je, fikra hizo zina ukweli wowote? Kwa nini wamfanyie hivyo Rais Samia?
Ni nani hao ambao wanaamini kuwa Rais Samia akishindanishwa nao, hawezi kuwashinda? Ni hawa hawa wateule wake au kuna wengine?
Ni mtazamo wako ukishavuta bangi!We ulijua wa kipara tako?!
Wewe umeacha lini kuvuta!!?Ni mtazamo wako ukishavuta bangi!
Usivutie chooni!Wewe umeacha lini kuvuta!!?
Utaratibu!!!imeandikwa sehemu? Kama mi utaratibu kwanini inatumika nguvu kubwa sana kuwaambia watu wa ccm kuwa watachapisha fomu 1? Acha kutetea ujinga.Nchi ina matahira wengi sana, jitu mpaka leo halijui hata utaratibu wa CCM mgombea anapogombea awamu ya pili.
Ngoja nikuulize mleta mada, eti una mtoto?
Hiyo ni tafsiri Yako lakini utamaduni wa ccm awamu ya Pili Rais hashindanishwi na mtu Toka enzi za JK, Magufuli na Sasa CCM.
Mwisho hata wangemshindanisha hakuna wa kumshinda.
Jibu ni utamaduni wa ccm,Huwa hawspendi mgombea wao kuonekana alikuwa anapingwa na Baadhi Yao.Kama kuna uhakika kuwa Samia atawashinda wagombea wowote watakaojitokeza, kwa nini wawazuie watu wengine kugombea?
Jibu ni utamaduni wa ccm,Huwa hawspendi mgombea wao kuonekana alikuwa anapingwa na Baadhi Yao.
Wasubirie 2030 wawashiane moto
Utaratibu lazima ufuatwe hata kama Fomu ni Moja.Japo, utamaduni wa namna hiyo hauna afya kwa chama wala nchi, kuna haja gani ya kuchapisha hata hiyo fomu moja? Si wasubirie tu uchaguzi akapambane na wagombea wa vyama vingine kuliko kupoteza muda na fedha kwa kufanya mambo ya maigizo?
Utaratibu lazima ufuatwe hata kama Fomu ni Moja.
Tija ipo mbona huko Kwenu Kwa Machadema mna mgombea 1 wa Maisha hata hiyo Fomu 1 Huwa haichapishwi?
Sio tuu huko Chadema wamekataliwa Bali Sultan anakutimua kwenye chama au kukuua ,usidhani wote wajinga kama wewe.eg Zito,Wangwe etcUsiseme kwenu. Yaelekea hujui.
Nijuacho ni kuwa CHADEMA hakuna mtu amewahi kukataliwa kuchukua fomu na kuomba nafasi yoyote. Na sijawahi kuona tamko lolote likieleza kuwa fomu ya kugombea uongozi kwenye nafasi yoyote ya uongozi itakuwa moja.