Unafahamu yaliyo mtokea Shibuda 2010 pale Tabora Railway station akija Dodoma kuchukua form Dhidi ya JK?Ngoja
Mkapa 2000 alishindanishwa na nani?
Kikwete 2010 alishindanishwa na nani?
Shujaa Magufuli 2020 alishindanishwa na nani?!
Niko pale......
Ni vijana wa JKBila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia...
Hakuna mtu asiye kuwa na mtoto mkuu, 🤒🤒nchi ina matahira wengi sana, jitu mpaka leo halijui hata utaratibu wa CCM mgombea anapogombea awamu ya pili.
ngoja nikuulize mleta mada, eti una mtoto?
Nikajua we kama YesuHakuna mtu asiye kuwa na mtoto mkuu, 🤒🤒
NI mahaba ni mapenzi kwa raisi wetu, kwa mwenyekiti wetu ,kipenzi mwanamke wa pekee,Daktari wa madaktari Samia Suluhu Hassani mama wa kizimkazi tunataka kumshindanisha na Mbowe ndio mwenyekiti Lissu bado sana!Bila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia.
Tumesikia kelele za baadhi ya viongozi wa CCM kuwa eti mwaka 2025, kwa upande wa CCM, itachapishwa fomu moja tu ya mgombea wa Urais, nayo atapewa Rais Samia...
Awamu ya kwanza aligombea lini na alishinda kwa kura ngapi?nchi ina matahira wengi sana, jitu mpaka leo halijui hata utaratibu wa CCM mgombea anapogombea awamu ya pili.
ngoja nikuulize mleta mada, eti una mtoto?
Hapana simjui 🤒🤒nikajua we kama Yesu
Kuna swali ameuliza kuhusu SSH tu.Liangalie vizuri. Hao wengine waache kwanza kama spare parts za sledi za baadaye.Ngoja
Mkapa 2000 alishindanishwa na nani?
Kikwete 2010 alishindanishwa na nani?
Shujaa Magufuli 2020 alishindanishwa na nani?!
Niko pale......
Mmmmmmhhhh!Kwa nini hamuachiani maji ya kunywa mezani?😎NI mahaba ni mapenzi kwa raisi wetu, kwa mwenyekiti wetu ,kipenzi mwanamke wa pekee,Daktari wa madaktari Samia Suluhu Hassani mama wa kizimkazi tunataka kumshindanisha na Mbowe ndio mwenyekiti Lissu bado sana!
Shibuda nusura alale kwenye majaruba ya Isevya.Unafahamu yaliyo mtokea Shibuda 2010 pale Tabora Railway station akija Dodoma kuchukua form Dhidi ya JK?
Ndio zenu hizo mkisha ona mmeharibu na mnapingwa tokea ndani!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Katiba inahesabu kuwa 2021-2025 ni kipindi cha kwanza cha Samia. Ikiwa atagombea 2025 akashinda,akifika 2030 katiba haitamruhusu tena kugombea uraisi.JPM alifariki mwaka 2021 ikiwa ni mwaka mmoja baada ya kipindi chake cha pili na cha mwisho, cha miaka mingine mitano kuanza. Japo demokrasia ilibakwa katika ufachuzi wa 2020, lakini ushindi wake ndiyo uliokuwa unaenda kuhitimisha kipindi chake cha utawala wa miaka kumi ya awamu ya tano.
Kwa bahati mbaya kifo chake kilipelekea awamu yake ipokelewe na makamu wake. Huyu alikipokea kijiti ili kukidhi takwa la kikatiba katika kuihitimisha awamu ya tano.
Jambo hili lilikuwa ni kukidhi takwa la kikatiba la "transition of power" kwa kuwa mtawala aliyekuwepo madarakani alikiachia kiti chake cha urais. na Rais mpya ikapaswa akikalie kiti hicho kwa miaka minne iliyobakia. Awamu mpya hutokea kila baada ya miaka kumi ya utawala wa Rais aliyeshirikiv na kuchaguliwa katika uchaguzi mkuu.
Ni wale wanaomtukana na kulipa watu wamtukane rais wetu mtandaoniNi nani hao ambao wanaamini kuwa Rais Samia akishindanishwa nao, hawezi kuwashinda?
Hiyo hata chadema tena wao wazidi lifti pia hawapeani unalege!ewa break!Mmmmmmhhhh!Kwa nini hamuachiani maji ya kunywa mezani?😎
CC: CHADEMA Board of Chairman Mpya Elections 2024.Bila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia.
Tumesikia kelele za baadhi ya viongozi wa CCM kuwa eti mwaka 2025, kwa upande wa CCM, itachapishwa fomu moja tu ya mgombea wa Urais, nayo atapewa Rais Samia.
Mimi nauona huu udhalilishaji dhidi ya Rais. Tafsiri ya kuchapisha fomu moja ni kwamba Rais Samia akishindanishwa, hawezi kushinda. Je, fikra hizo zina ukweli wowote? Kwa nini wamfanyie hivyo Rais Samia?
Ni nani hao ambao wanaamini kuwa Rais Samia akishindanishwa nao, hawezi kuwashinda? Ni hawa hawa wateule wake au kuna wengine?