CCM Inaleta Matumaini

Inasemwa adui yako mwangamize kabla hujaabgamia wewe
 
Magufuli ni zaidi ya umjuavyo atauwa vyama vya upinzani anachapa kazi hatari kabisa weka mbali mbali na nyumbu kabisa.
Unamzungumzia huyu Uchwara muoga wa bunge live
 
Kidumu Chama Tawala...
Miaka 55 Bado tunajenga Barabara zile zile korofi.Maendeleo ya Taifa yanatoka asilimia 100 kwenda asilimia Zero.Hakika CCM hoyeeeeeeeeeee
 
Inaitwa Corporate Social Responsibility hio... [HASHTAG]#Hapa[/HASHTAG] Kazi Tu!
 
Hili neno CCM
msema ukweli ni mpenzi wa mungu yani nikisikia ccm huwa najisikia vibaya.
Hadi inafikia nawaza nikipata nafasi ya kuwaangamiza makada wa ccm sitoacha hata kizazi chao cha tatu hata nne.
Kweli? ? Hebu zungurusha mikono tukuone. ...
 
Hili neno CCM
msema ukweli ni mpenzi wa mungu yani nikisikia ccm huwa najisikia vibaya.
Hadi inafikia nawaza nikipata nafasi ya kuwaangamiza makada wa ccm sitoacha hata kizazi chao cha tatu hata nne.
Hizo huwa ni dalili za mimba changa, yaani mtu asikie neno ccm ajisikie vibaya, kivipi? Nenda haraka Clinic mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…