Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,921 Reaction score 6,554 Jun 12, 2024 #1 Nasikia habari hizi Dr. Emmanuel Nchimbi atakwenda Butiama kijijini kwa Mwalimu Nyerere. Lakini sijapata mtu wa kumuuliza. Certainly hapa kijijini Butiama kuna maandalizi ya kumpokea mgeni but I don't know who. Labda nimuulize Lucas Mwashambwa.
Nasikia habari hizi Dr. Emmanuel Nchimbi atakwenda Butiama kijijini kwa Mwalimu Nyerere. Lakini sijapata mtu wa kumuuliza. Certainly hapa kijijini Butiama kuna maandalizi ya kumpokea mgeni but I don't know who. Labda nimuulize Lucas Mwashambwa.