Tanzania inaenda kuwa kama somalia hakuna taifa lenye misingi ya kidikteta likasalimika na laana zake. Kuna maumivu tutayapitia soon tukishindwa kuheshimu katiba hata kama ni mbovuAsilimia kubwa ya watanzani vichwa vigumu yani mpka damu zitoke masikioni ndio tutajua watu wao sisi
sema wewe unampango. usiwasemee watu nankuwalisha manenoTunampango wa kumpa JPM miaka kumi mingine
Umeambiwa ni mm tu.sema wewe unampango. Usiwasemee watu nankuwalisha maneno
Inasikitisha sana ndugu yangu tumekuwa kama ukimbizini kumbe tup nchini kwetu hapahapaCCM hii ya kuteka watu, CCM inafanya watu wanakuwa vilema, CCM inatengeneza watoto yatima bada ya kuwapoteza wazazi wao..CCM ya kuiba mabox ya kura mchana mchana, CCM ya kubambikizia watu kesi za mauaji, uhujumu uchumi CCM hii inawala watanzania ki mabavu wananchi washaichoka !!
Hamna chama humo!!...ni dola inaishikilia.
Haya yote ni CCM chama cha hovyo saana!!Inasikitisha sana ndugu yangu tumekuwa kama ukimbizini kumbe tup nchini kwetu hapahapa
Tunampango wa kumpa jpm miaka kumi mingine
Wam
Wampe na zawadi ya back sio!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Siyo hili tu, bali pia wanatumia muda mwingi kuitukuza serkali ya Awamu ya tano kuliko Mungu. Hii ni aina moja wapo ya kuabudu sanamu; na Mungu hapendi hivyoKwa siku za hivi karibuni mara baada ya kuanza bunge kumezuka mambo ambayo kwa kweli sisi kama wananchi na watanzania hatukuzoea kabisa tangu tupate uhuru wetu 1961...