Toa Marks
Ujamaa na kujitegemea
Ruswa ni adui wa haki
Sitatoa wala kupokea rushwa
Nitasema kweli daima
Fitina kwangu mwiko
Watu, haki, siasa safi na uongozi bora = Maendeleo
Binadamu wote ni sawa, yaani wote ni waheshimiwa.
Katika kuvihukumu vitendo vyetu kama ni vizuri, au ni vibaya, hatuna budi tujiulize: Je vinasaidia au vinapinga kutimiza shabaha za Chama chetu. Kama vinapinga, basi hatufai hata kidogo, ndio!