CCM inafanya kampeni kizamani!

CCM inafanya kampeni kizamani!

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2012
Posts
4,344
Reaction score
9,845
Maisha yanaenda yakibadilika kila siku,tekinoloji nayo inabadilika na hata uwezo wa watu wa kutazama mambo unabadilika.

Katika chaguzi zilizopita CCM haikuwa na kazi kubwa sana.Watu ambao hata bila kufanyiwa kampeni waliipigia kura CCM walikuwa wengi.Upinzani ulikuwa umegawanyika na haukuwa na wafuasi wengi sana.Ilikuwa rahisi sana kwa CCM kuhujumu,kudhulumu na kushinda hata kwa single moja tu ya kapteni Komba.

Jambo ambalo CCM hawajaweza kulimeng'enya ni kwanza kutambua athari ya muungano wa vyama vya upinzani na Pili athari ya Vigogo waliokuwa CCM waliohamia upinzani.

Mambo haya mawili yamebadili upepo katika uwanja wa kampeni na CCM ilipaswa kutambua hili.
Kwanza Muunganiko wa Upinzani umewafanya wafuasi wa upinzani kuwa kitu kimoja na kuzungumza lugha moja na hili limeongeza mara dufu wapiga kura wa mgombea wa upinzani wenye maamuzi tayari~decided voters.
Pili kuhamia upinzani kwa waliokuwa vigogo wa CCM kumeimega CCM kwa sehemu kubwa na waliomegeka ni wapiga kura wenye maamuzi tayari.

Ni kukosa kufikiri tu kutamfanya mgombea yoyote kati ya Lowasa na Magufuli wajinadi kwa wafuasi wachache ambao kimsingi ni wafia chama wa Act na TLP.

Kwenye kampeni za kisasa,vyama na wagombea huweka mikakati mingi juu ya wapigakura ambao hawajafanya maamuzi~undecided voters.

Swali linakuja,Wapiga kura ambao hawajafanya maamuzi ni wapi katika uchaguzi huu?
Jibu liko dhahiri; ni wanachama waliobakia CCM na wapiga kura wachache wasio na vyama.
Kampeni za toroka uje,vuka mto,ulipo tupo zinawalenga wapigakura waliobakia CCM.
Sera za elimu bure,riba kwa mkulima na nyingine zinawalenga wapigakura wasio na vyama zaidi!
Hii inaitwa "targeting in campaign".

CCM inauza sera za jumla jumla kwa watu wote.Unaweza kurusha jiwe kwenye kundi la ndege elfu usipate hata mmoja.

CCM haijui wafuasi wake kindakindaki wamebaki wangapi na wala imlenge nani,hii ni hatari kubwa.
Kampeni za tshirt,wali na kofia ni kampeni za kizamani.
 
Pokea "LIKE" Mkuu!
 
Pokea LIKE kaka. There you are! Wamechoka wamechakaa
 
Mnataka waweke hotuba web site ?

Yaan wew hiyo website ndo imekuchanganya ha ha haa kwel nimeamin ukiwa mfuasi wa ccm una sifa moja wapo kati ya hiz 1.unafaidika na mfumo
2.una uwezo mdogo sana wa kufikir
Sijui wewe uko kwenye sifa ipi hapo
 
Sifa ya kuongea ukweli na kutokuwa shabiki wa chama bali mtanzania mwenye nia ya kuwaweka sawa wapotoshaji na mashabiki wasaka tonge!
 
Majibu ya yote mnayozoza ni 25oktoba2015.wasio na www ndiyo wengi majibu mnayo mengine ni alinacha
 
Maisha yanaenda yakibadilika kila siku,tekinoloji nayo inabadilika na hata uwezo wa watu wa kutazama mambo unabadilika.

Katika chaguzi zilizopita CCM haikuwa na kazi kubwa sana.Watu ambao hata bila kufanyiwa kampeni waliipigia kura CCM walikuwa wengi.Upinzani ulikuwa umegawanyika na haukuwa na wafuasi wengi sana.Ilikuwa rahisi sana kwa CCM kuhujumu,kudhulumu na kushinda hata kwa single moja tu ya kapteni Komba.

Jambo ambalo CCM hawajaweza kulimeng'enya ni kwanza kutambua athari ya muungano wa vyama vya upinzani na Pili athari ya Vigogo waliokuwa CCM waliohamia upinzani.

Mambo haya mawili yamebadili upepo katika uwanja wa kampeni na CCM ilipaswa kutambua hili.
Kwanza Muunganiko wa Upinzani umewafanya wafuasi wa upinzani kuwa kitu kimoja na kuzungumza lugha moja na hili limeongeza mara dufu wapiga kura wa mgombea wa upinzani wenye maamuzi tayari~decided voters.
Pili kuhamia upinzani kwa waliokuwa vigogo wa CCM kumeimega CCM kwa sehemu kubwa na waliomegeka ni wapiga kura wenye maamuzi tayari.

Ni kukosa kufikiri tu kutamfanya mgombea yoyote kati ya Lowasa na Magufuli wajinadi kwa wafuasi wachache ambao kimsingi ni wafia chama wa Act na TLP.

Kwenye kampeni za kisasa,vyama na wagombea huweka mikakati mingi juu ya wapigakura ambao hawajafanya maamuzi~undecided voters.

Swali linakuja,Wapiga kura ambao hawajafanya maamuzi ni wapi katika uchaguzi huu?
Jibu liko dhahiri; ni wanachama waliobakia CCM na wapiga kura wachache wasio na vyama.
Kampeni za toroka uje,vuka mto,ulipo tupo zinawalenga wapigakura waliobakia CCM.
Sera za elimu bure,riba kwa mkulima na nyingine zinawalenga wapigakura wasio na vyama zaidi!
Hii inaitwa "targeting in campaign".

CCM inauza sera za jumla jumla kwa watu wote.Unaweza kurusha jiwe kwenye kundi la ndege elfu usipate hata mmoja.

CCM haijui wafuasi wake kindakindaki wamebaki wangapi na wala imlenge nani,hii ni hatari kubwa.
Kampeni za tshirt,wali na kofia ni kampeni za kizamani.

Well said -- Wakati Lowassa alipo kwenda kusoma Marekani walimwona anapoteza muda wake. Alichosomea ndicho anacho kitumia katika kampeni hizi. Magufuli, Nauye, Nchimbi na wengine ndani ya CCM bado wanazile fikra za kumdanganya mtoto kwa pipi kisha umchome sindano. Ulipo Tupo, Toroka Uje kwani CCM haijiwezi.
 
Hali mbaya kwa watani zetu. Everything has been carried out in an old fashioned style. People are ready for changes therefore it is not easy to change their decisions.
 
Oyo oyo oyo!
oyo oyo oyo!
woyo woyo woyo!
woyo woyo woyo!
Nani amesanda?
Kikwete.
Nani amesanda?
Kikwete!

Asante!
 
mmekaa kishabiki zaidi ccm ni chama cha kukosoana, kuambiana ukwel na kuwekana sawa !

Kama toroka uje,hata mimi nilikuwa huko,hamna ishuuu!
Chama kimebaki cha Ngumi,ubabe,kejeli na matusi.
 
Well said -- Wakati Lowassa alipo kwenda kusoma Marekani walimwona anapoteza muda wake. Alichosomea ndicho anacho kitumia katika kampeni hizi. Magufuli, Nauye, Nchimbi na wengine ndani ya CCM bado wanazile fikra za kumdanganya mtoto kwa pipi kisha umchome sindano. Ulipo Tupo, Toroka Uje kwani CCM haijiwezi.

Kula 'like' elfu moja!
Oyooooooo!
 
CCM Inafanya makosa sana kuhama na wafuasi wale wale mkoa kwa mkoa wakiwahutubia.Hii ni sawa nakuwaomba watu walio kanisani tayari waje kanisani.
Ni upuuzi tu kutumia rasilimali nyingi kwa watu ambao watawapigia kura tu!
Wangetumia rasilimali hizi kwa watu ambao hawajafanya maamuzi ningewaelewa.
 
Back
Top Bottom