Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,837
- 50,541
- Thread starter
-
- #21
Ajabu ukifika wakati wa Uchaguzi wasiotakiwa ndiyo huaminiwa na wasioaminiwa ndiyo hukataliwa!CCM hatuitaki,wapinzani hatuwaamini!
Tuko njia panda....tulikotoka ni mbali,tuendako hatupajui!Ajabu ukifika wakati wa Uchaguzi wasiotakiwa ndiyo huaminiwa na wasioaminiwa ndiyo hukataliwa!
Sure,na miongoni mwetu tumechoka hayo mazoea ambapo wengine bado hawaoni hiloKama hakuna mabadiliko katika maendeleo ya nchi ni kheri chama kingine kiingie madarakani kuliko kwenda kwa mazoea
Tatizo mnawekeza sana propaganda chafu mitandaoni badala ya vijijini kwa wapiga kura.Nadhani CCM hakuna mtu anayeweza kutatua matatizo yaliyosababishwa na chama hicho kuwa madarakani. CCM inapata wapi uhalali wa kuongoza tena Tanzania kutokea mwaka 2020 na kuendelea?
Hata baada ya uhuru TANU haikuwa na uzoefu wa kuwndesha serikali lakini mambo yalikwendaSure,na miongoni mwetu tumechoka hayo mazoea ambapo wengine bado hawaoni hilo
Wasiojua tuendako ndiyo waongoza njia na walio nyuma ya msafara ndiyo wanalaumiwa kwa kupotea kwetu tuendako!Tuko njia panda....tulikotoka ni mbali,tuendako hatupajui!
Hata vikao vya ndani mnaviogopa hao watu wa vijijini watapatikanaje? Kulikuwa na kikao cha CHADEMA walitumwa Askari kwenda kuwafurusha, siku za karibuni CCM wamefanya mkutano kijiji cha Kinyika huko Iringa vijijini hakuna walichofanywa.Tatizo mnawekeza sana propaganda chafu mitandaoni badala ya vijijini kwa wapiga kura.
Sawa ccm haistahili kutuongoza,tumpe nani fuko la hazina?
sasa mkuu kuna chama gani mbadala na ccm chenye sifa tajwa hapo juu?Kama haifai manake kuwe na chama Pinzani chenye
1. nguvu,
2. muundo stahiki wa uongozi,
3. wanachama hai yakinifu,
4. viongozi wenye sifa chanya,
5. viongozi safi wasio na tabia za upepo
6. Wamejiandaa kushika dola
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo nguvu zitapatikanaje kama kila walifanyalo CCM hutumia nguvu za dola kulivuruga?sasa mkuu kuna chama gani mbadala na ccm chenye sifa tajwa hapo juu?
Ngw'ana Kabula
Ndio maana nimejaribu kuweka sifa hizo ili tujitathmini kama kuna mbadala ama kuboresha kile kidogo tulichonachosasa mkuu kuna chama gani mbadala na ccm chenye sifa tajwa hapo juu?
Ngw'ana Kabula
Hawa waliopo hawa,wanajiona wanaweza kumbe hakuna kituHata baada ya uhuru TANU haikuwa na uzoefu wa kuwndesha serikali lakini mambo yalikwenda
Kwa miaka zadi ya 40 hicho kidogo kinashindwa kuboreshwa ni kwa nini tuamini kwamba baada ya 2020 kitaboreka!Ndio maana nimejaribu kuweka sifa hizo ili tujitathmini kama kuna mbadala ama kuboresha kile kidogo tulichonacho
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe bhanaa!Hizo nguvu zitapatikanaje kama kila walifanyalo CCM hutumia nguvu za dola kulivuruga?
Inategemeana na unavyoyaangalia mambo ya siasa. Cha ajabu watanzania wengine wanadhani kukwama kwetu kama nchi kunasababishwa na vyama vya upinzani dhaifu lakini hawataki kabisa kujua kama CCM na yenyewe inataka vyama vya upinzani Imara.wewe bhanaa!
1. kutokuwa na uaminifu
2. vigeugeu n.k
nayo yanavurugwa na dola?? hahaha
Ngw'ana Kabula