Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,837
- 50,541
The modus operand of God is of his own making. Mungu akiamua kukuumbua hufunika ufahamu wako usipelekwe kitu chochote halafu anakuumbuaHivi CCM si huwa inasema kwamba CHADEMA ni chama cha kikabila na kikanda. Humu Jf mashabiki wa CCM huiita CHADEMA "chagadema" na chama cha kifamilia. Hao wanachama wa CHADEMA wanaojiunga CCM toka CHADEMA si watu wenye siasa za kikabila na kikanda? Au tatizo la wachaga ni wakiwa CHADEMA tu ila wakienda CCM hakuna shida?
Inachukua wale waiochoshwa na ukabila na umangi Meza. Kifupi wsmechoshwa na uhayawani ulioko huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nawashauri shemeji zangu wachaga,jirani zao wameru na waarusha na watani zao wapare ccm imeua biashara zenu,imewafanyia fitina serikalini na kwenye mashirika ya uma sasa ni wakati wa kuigeuza ccm yenyewe kuwa PESA,hima miaka Saba si mingi Ila inatosha kuvuna PESA.
Msishangae kama sisi wagogo kufa na bendera za chama,changamkieni fursa.
Hamieni ccm wote hadhi ya arusha itarudi na mwisho wa siku mtaitwa mashujaa wa ujasiriamali na siasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Goodluck Kimaro,Everist Peter Kimati na yule wa weru weru wanakimbia vipi ukabila wa mbowe mchaga mwenzao?Inachukua wale waiochoshwa na ukabila na umangi Meza. Kifupi wsmechoshwa na uhayawani ulioko huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa walikuwa wanabaguliwa kikabila?
Kati ya wote waliohama kuna mchaga?Hivi CCM si huwa inasema kwamba CHADEMA ni chama cha kikabila na kikanda. Humu Jf mashabiki wa CCM huiita CHADEMA "chagadema" na chama cha kifamilia. Hao wanachama wa CHADEMA wanaojiunga CCM toka CHADEMA si watu wenye siasa za kikabila na kikanda? Au tatizo la wachaga ni wakiwa CHADEMA tu ila wakienda CCM hakuna shida?
Hakuna. Lakini ni nyie huwa mnasema kama siyo mchaga huwezi kuchaguliwa uchagani. Leo waliohamia CCM siyo wachaga hata kidogo.Kati ya wote waliohama kuna mchaga?
Huu ndio uchocheziMimi nawashauri shemeji zangu wachaga,jirani zao wameru na waarusha na watani zao wapare ccm imeua biashara zenu,imewafanyia fitina serikalini na kwenye mashirika ya uma sasa ni wakati wa kuigeuza ccm yenyewe kuwa PESA,hima miaka Saba si mingi Ila inatosha kuvuna PESA.
Msishangae kama sisi wagogo kufa na bendera za chama,changamkieni fursa.
Hamieni ccm wote hadhi ya arusha itarudi na mwisho wa siku mtaitwa mashujaa wa ujasiriamali na siasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamkaa shetani? NAMKATAAMimi nawashauri shemeji zangu wachaga,jirani zao wameru na waarusha na watani zao wapare ccm imeua biashara zenu,imewafanyia fitina serikalini na kwenye mashirika ya uma sasa ni wakati wa kuigeuza ccm yenyewe kuwa PESA,hima miaka Saba si mingi Ila inatosha kuvuna PESA.
Msishangae kama sisi wagogo kufa na bendera za chama,changamkieni fursa.
Hamieni ccm wote hadhi ya arusha itarudi na mwisho wa siku mtaitwa mashujaa wa ujasiriamali na siasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikaa na uaridi utanukia........?Hivi CCM si huwa inasema kwamba CHADEMA ni chama cha kikabila na kikanda. Humu Jf mashabiki wa CCM huiita CHADEMA "chagadema" na chama cha kifamilia. Hao wanachama wa CHADEMA wanaojiunga CCM toka CHADEMA si watu wenye siasa za kikabila na kikanda? Au tatizo la wachaga ni wakiwa CHADEMA tu ila wakienda CCM hakuna shida?
Uaridi ndiyo CCM inayopapalia ubaguzi kwa kauli na matendo yake? Yaani kweli CCM inaweza kuwa ni Uaridi?
Hakuna ukabila CCMUshasikia ccm siku hz wanasema neno ukabila? Nafsi znawasuta wakimuona mwenyekiti wao.
Sent using Jamii Forums mobile app