CCM inachukuaje wanachama wa CHADEMA?

CCM inachukuaje wanachama wa CHADEMA?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,169
Reaction score
48,451
Hivi CCM si huwa inasema kwamba CHADEMA ni chama cha kikabila na kikanda. Humu Jf mashabiki wa CCM huiita CHADEMA "chagadema" na chama cha kifamilia. Hao wanachama wa CHADEMA wanaojiunga CCM toka CHADEMA si watu wenye siasa za kikabila na kikanda? Au tatizo la wachaga ni wakiwa CHADEMA tu ila wakienda CCM hakuna shida?
 
Mimi nawashauri shemeji zangu wachaga,jirani zao wameru na waarusha na watani zao wapare ccm imeua biashara zenu,imewafanyia fitina serikalini na kwenye mashirika ya uma sasa ni wakati wa kuigeuza ccm yenyewe kuwa PESA,hima miaka Saba si mingi Ila inatosha kuvuna PESA.
Msishangae kama sisi wagogo kufa na bendera za chama,changamkieni fursa.
Hamieni ccm wote hadhi ya arusha itarudi na mwisho wa siku mtaitwa mashujaa wa ujasiriamali na siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The modus operand of God is of his own making. Mungu akiamua kukuumbua hufunika ufahamu wako usipelekwe kitu chochote halafu anakuumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nawashauri shemeji zangu wachaga,jirani zao wameru na waarusha na watani zao wapare ccm imeua biashara zenu,imewafanyia fitina serikalini na kwenye mashirika ya uma sasa ni wakati wa kuigeuza ccm yenyewe kuwa PESA,hima miaka Saba si mingi Ila inatosha kuvuna PESA.
Msishangae kama sisi wagogo kufa na bendera za chama,changamkieni fursa.
Hamieni ccm wote hadhi ya arusha itarudi na mwisho wa siku mtaitwa mashujaa wa ujasiriamali na siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app

😎😎😎 😱😱 😀😀😀😀
images
172460.jpg
 
Hivi CCM si huwa inasema kwamba CHADEMA ni chama cha kikabila na kikanda. Humu Jf mashabiki wa CCM huiita CHADEMA "chagadema" na chama cha kifamilia. Hao wanachama wa CHADEMA wanaojiunga CCM toka CHADEMA si watu wenye siasa za kikabila na kikanda? Au tatizo la wachaga ni wakiwa CHADEMA tu ila wakienda CCM hakuna shida?
Kati ya wote waliohama kuna mchaga?
 
Mimi nawashauri shemeji zangu wachaga,jirani zao wameru na waarusha na watani zao wapare ccm imeua biashara zenu,imewafanyia fitina serikalini na kwenye mashirika ya uma sasa ni wakati wa kuigeuza ccm yenyewe kuwa PESA,hima miaka Saba si mingi Ila inatosha kuvuna PESA.
Msishangae kama sisi wagogo kufa na bendera za chama,changamkieni fursa.
Hamieni ccm wote hadhi ya arusha itarudi na mwisho wa siku mtaitwa mashujaa wa ujasiriamali na siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio uchochezi

Unamkaa shetani? NAMKATAA
na mambo yake yote? NAYAKATAA
na gilba zake zote? NAZIKATAA
na uongo wake wote NAUKATAA
na visa vyake vyote? NAVIKATAA
 
Hivi CCM si huwa inasema kwamba CHADEMA ni chama cha kikabila na kikanda. Humu Jf mashabiki wa CCM huiita CHADEMA "chagadema" na chama cha kifamilia. Hao wanachama wa CHADEMA wanaojiunga CCM toka CHADEMA si watu wenye siasa za kikabila na kikanda? Au tatizo la wachaga ni wakiwa CHADEMA tu ila wakienda CCM hakuna shida?
Ukikaa na uaridi utanukia........?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom