Ccm ina kesi ya kujibu 2015

Ccm ina kesi ya kujibu 2015

BABAAKUBWA

Senior Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
120
Reaction score
27
Serkali ya ccm chini ya rais Kikwete inapaswa kuwaomba radhi watanzania kwa aibu na fedheha iliyoliletea taifa letu.

Leo hii watanzania tunadharauliwa na majirani zetu wote Malawi,Rwanda, Uganda,Kenya wanatutdharau na kuona hatufai kutokana na uongozi mbovu wa Rais na mawaziri wake ambao hupenda kufanya mambo (hata kama hayana maslahi kwa taifa na watu wake) ili mradi tu wasifiwe na marekani

Wakati majirani zetu (Kenya&Rwanda) wanaelekeza nguvu zao katika kuzijenga na kuziendeleza nchi zao kijamii,kiuchumi na kisiasa kwa maslahi ya watu wao; huku kwetu watawala wetu,rais na mawaziri wake wanaendeleza hujuma dhidi ya raia na rasilimali za nchi hii kwa maslahi ya wazungu ili wacfiwe!
Mfano, leo Rwanda imeendelea kutokana na vikosi vyake vilivyoko DRC.Je!sisi vikosi vyetu kule DRC ni kwa maslahi ya nani kama siyo ya OBAMA,MAREKANI kwa malipo ya misifa kibao huku resources zetu zikiteketea for nothing else?Raia waliouawa na polisi N'mongo na Mtwara ni kwa maslahi ya nani?

CCM MNA TUHUMA YA KUJIBU 2015.
 
Tena wana kesi kubwa sana hawa!

Na hata hivyo ina wafungwa watarajiwa wengi sana!

Waombe Mungu uongozi mwingine usije.
 
Hujakosea mkuu,ndo maana sasa wanacheza trick ya kuji withdraw ICC(wanaungana na Kenya) ,wanajua hatima yao hawa watu,The Hague inawanukia
 
pole yao maccm,pa1 na wale `misukule' wanaosapoti uovu wao iwe ni kwa kujua au kwa kutokujua- hukumu ni yao!

Kheri yao wanaojitenga mbali nao na udhalimu wao.
 
Serkali ya ccm chini ya rais Kikwete inapaswa kuwaomba radhi watanzania kwa aibu na fedheha iliyoliletea taifa letu. Leo hii watanzania tunadharauliwa na majirani zetu wote Malawi,Rwanda, Uganda,Kenya wanatutdharau na kuona hatufai kutokana na uongozi mbovu wa Rais na mawaziri wake ambao hupenda kufanya mambo (hata kama hayana maslahi kwa taifa na watu wake) ili mradi tu wasifiwe na marekani Wakati majirani zetu (Kenya&Rwanda) wanaelekeza nguvu zao katika kuzijenga na kuziendeleza nchi zao kijamii,kiuchumi na kisiasa kwa maslahi ya watu wao; huku kwetu watawala wetu,rais na mawaziri wake wanaendeleza hujuma dhidi ya raia na rasilimali za nchi hii kwa maslahi ya wazungu ili wacfiwe! Mfano, leo Rwanda imeendelea kutokana na vikosi vyake vilivyoko DRC.Je!sisi vikosi vyetu kule DRC ni kwa maslahi ya nani kama siyo ya OBAMA,MAREKANI kwa malipo ya misifa kibao huku resources zetu zikiteketea for nothing else?Raia waliouawa na polisi N'mongo na Mtwara ni kwa maslahi ya nani? CCM MNA TUHUMA YA KUJIBU 2015.
Hizo "resources" zako utazichimba kwa vidole? ni nani aliekukataza kwenda kuchimba? bahari ya hindi hauijui? chunya haupajui? buzwagi haupajui? Mererani haupajui? Manyoni haupajui? Kama haupajui basi hata kupasikia haujapasikia? Nikikuita mjinga utakasirika?
 
Hizo "resources" zako utazichimba kwa vidole? ni nani aliekukataza kwenda kuchimba? bahari ya hindi hauijui? chunya haupajui? buzwagi haupajui? Mererani haupajui? Manyoni haupajui? Kama haupajui basi hata kupasikia haujapasikia? Nikikuita mjinga utakasirika?

Maeneo yote hayo ni nchi zilizoko ndani ya nchi ya Tanzania lakini zina utawala wake.Akijaribu kuingiza pua yake tu ana lamba risasi za kisogoni.
 
hizo "resources" zako utazichimba kwa vidole? Ni nani aliekukataza kwenda kuchimba? Bahari ya hindi hauijui? Chunya haupajui? Buzwagi haupajui? Mererani haupajui? Manyoni haupajui? Kama haupajui basi hata kupasikia haujapasikia? Nikikuita mjinga utakasirika?

p-u-m-b-a-v+u!
Funga kopo huna hoja
 
Tatizo la viongozi wetu hawatokani na sisi hawajui tunataka nini hawajui sisi ni nani na hawajui tunataka nini inauma sana
 
Back
Top Bottom