angalia tu isigeuke, maana siumenona nilivyo waacha wale wanawake katika yale mashindano ujerumani?turudi kwenye mada mkuu, angalau tuna chuo mkuu...emagine ile udsm yenyewe inakufa na wanaoiuwa waalim wapalepale....tuombe mungu udom isiharibiwe na wana udom wenyewe kama waalim wa udsm