CCM Imepoteza dira, haina hoja tena

Hiv watu wanaoandikaga thread hiz wanakuaga ni watu wa aina gan..mi nahis wanakuaga na mania..yaan ka ugonjwa flan ka akil kale ka kitu mtu anajua kabisa hakiwezekan ila yey akil yake inamtuma inawezekana..ndo wale unakuta wanaongea peke yao..yaan utamkuta anaongea kua ..ooh naweZa kupaa naweza kupaa.af siwez kupaa.mi sielew.hiv mtu mwenye akil timamu anaongea kabisa kuwa chadema inachkua nchi..unajiuluza hiv huyu yyko timamu kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtafukuzana na kufukuza wenye kukisaidia chama wabaki wapiga debe.

Katika hali ya kisiasa CHADEMA, Serikali iridhie kuundwa Tume ya Uchaguzi ambayo itakidhi matakwa ya vyama vyote vya siasa, pasiwepo manung'uniko wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu, 2020.
 
Hoja waliyonayo maccm ni kupambana na chadema badala ya kupambana na matatizo ya kijamii na kiuchumi yanayowakabili wananchi wa taifa hili.

kush na Wisdom
 
every one is busy taking sides ila kwa mtazamo wangu kama mwananchi huru( nisie na chama cha kisiasa) naona wote CCM na CHADEMA wameanza kukosa hoja... wote wana internal disputes!! wote wanajarbu kuchezeana faulo na kukomoana!!

any way acha raia tuumie tu.. we don't know which is which who is better!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…