CCM imepaniki?

Mimi nitawashangaa Watanzania wakiwaamini tena CCM .wao ndio chanzo cha matatizo yote halafu vipi leo wawe ndio solution.Rushwa imezagaa hata uchaguzi wao wa chama unafanyika chini ya ulinzi wa takururu.Takururu wakiwaona ccm imekuwa kama nzi waliona kinyesi kutanuka tu.CCM hawafai jamani nchi wameigeuza kama nigeria kwa corruption
 

Huko kujijini Nape na Timu yake wataenda kuiba kura
 
Nimefurahi kuona video clip ya mama aliyevaa nguo za rangi ya inzi wa chooni akikatiza mbele ya wamachinga na kuzomewa kuwa ni mwizi, duu ina maana wananchi mitaani karibia wote ni ukawa?
 
Sijawahi kumuona Jakaya akiwa katika hali aliyokuwa nayo jana, ghafla aligeuka kuwa mburudishaji, kakata mauno maskini yaan kacheza kweli mziki mpaka huruma.
 
Si rahisi kiasi hiki.Si rahisi Kikwete akubali CCM ipoteze dola mikononi mwake.
Naamini kuna mkakati mkubwa unakuja ambao unaweza kubadili upepo wa kisiasa nchini.
Kuna mengi nyuma ya pazia kuliko tunavyoona na hofu kubwa ni uvunjifu wa amani na kuingia vyombo vya dola.
Siioni dalili ya CCM kukubali kushindwa.
Ombi langu kwa Kikwete 'let nature take its own course"-Umefanya ulioyoweza na wengine wataendeleza.
 
Lazima magufuli akatwe Oktober 25.

JK atake asitake atakabidhi nchi kwa hasim wake
 
Lowasa anatumia pesa zake kutaka kuinunua ikulu na kamwe hatafanikiwa, amenunua watu wa kumpamba kila kona na baadhi ya media lkn niwakumbushe tu ni debe tupu hilo litapiga kelele mitaani, wenzenu wako na mikakati ya kimyakimya. Mbwembwe zilizoishia Dodoma safari hii zinakwenda kumalizikia ufipa
 
Nikionaga sare za kijani napata hasira, yaani natamani wangetupwa mto kagera
 
Yaani hueleweki! Kwa niji usitulie ndo uandike vizuri!

Magamba mmetweta Hoi bin taabani.... Wewe ndio unaonekana hujatulia km mtu aliekalia kaa la moto... Soma komenti then utagundua umechina...
 

Tunaambiwa kila siku sisi ambao si kundi la CDM tuwaache maCDM na mambo yao. Na wewe basi mambo ya CCM yanakuhusu nini? Kama kupaniki si ni sisi na faida kwenu, wewe kinachokusumbua ni nini? Leo ITV wakiegemea kwaCDM ni sawa, wakiwa upande waCCM oooh CCM imepanik. Ona mbali kama mwenyezi Mungu alivyotubariki... acha kuwa short sighted.
 
Ngonidema umetishaje ibilis akatoka ndukii popote pale asiyetaka mabadiliko asubiri kubadilishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…