Bora kibarua mkuu, kwavile elimu anayo kichwani atapata kwingine.. issue ni kucha na meno yake, tena bila ganzi! Ila hongera kwa kuthubutu kuusema ukweli
Yani neno "Laana" ni kali sana kulitumia kisa ni mpinzani wako kimawazo ,kimtazamo au kisiasa.Ni vyema tutafute maneno mengine ya kuyatumia ilihali heshima zetu tunaendelea kuzitunza