Mwamba Usemao Kweli
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 744
- 186
CCM imelaaniwa - Mhadhiri
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinakabiliwa na hali ngumu sasa kutokana na laana ya kushindwa kufuata misingi iliyoasisiwa na viongozi wa chama hicho.Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Bashiru Ally, alitoa kauli hiyo mjini hapa jana kwenye mkutano mkuu wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA) unaoendelea.
hakuna nenolingine linalo wafaa zaidi ya hiloyani neno "laana" ni kali sana kulitumia kisa ni mpinzani wako kimawazo ,kimtazamo au kisiasa.ni vyema tutafute maneno mengine ya kuyatumia ilihali heshima zetu tunaendelea kuzitunza
Umeandika vizuri sana... Hongera sanaC C M Chota Chako Mapema C U F Chukua Ule Fasta N C C R Nenda Chukua Chako Rudi"MAGEUZI"U D P Upatapo Donge Ponda. D P P Dumisha Papara ya Pesa C H A D E M A Chukua Hatua Ambazo Daima ni Endelevu kwa Maisha ya Amani.
C C M
Chota Chako
Mapema
C U F
Chukua Ule
Fasta
N C C R
Nenda Chukua Chako Rudi "MAGEUZI"
U D P
Upatapo Donge Ponda.
D P P
Dumisha Papara ya Pesa
C H A D E M A
Chukua Hatua Ambazo Daima ni Endelevu kwa Maisha ya Amani.
Mbaya zaidi waliotoa hiyo laana wametangulia mbele ya haki.