CCM imekufa, amebaki Magufuli

CCM imekufa, amebaki Magufuli

mcfm40

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,452
Reaction score
3,152
Kama chama cha siasa kinafikia hatua ya kuogopa kutaja jina lake hadharani,mgombea anaogipa kutaja jina la chama hadharani. Kwanza hii ni kughilibu wananchi. Pili nini unaweza kusema zaidi ya kusema kwamba chama hiki kimekufa?
 
Angalau kingekufa tukajua kimezikwa lakini CCM haipo imeishafutika ndani ya mioyo ya watu....Ila kuna kitu kimoja ambacho huenda ukakutana nacho ,wale wanaoiba zaidi wanaweza wakakujia na kukupa kamilioni au kahamsini elufu au hata ishirini alfu ,uvae katishati au kakepu au hata upande lori uhudhurie mkutano ,ndugu usisitesite chukua kila kitu ila usiwe rahisi weka dau kubwa kidogo ,ndio wale unaowaona kwenye mikutani na utawakuta vikofia alimuradi hata jani la kijani mtu atabeba ,ujue keshachukua chake yupo hapo kutimiza wajibu. Utawaona wanacheza wanalukaluka na zaidi huwa hafurahii ccm wanasema nini yeye hufurahia muziki wa kuagwa na CCM.
 
Kama chama cha siasa kinafikia hatua ya kuogopa kutaja jina lake hadharani,mgombea anaogipa kutaja jina la chama hadharani. Kwanza hii ni kughilibu wananchi. Pili nini unaweza kusema zaidi ya kusema kwamba chama hiki kimekufa?

Mkuu usafi pale stendi yetu ya chato mmeshakamilisha? kitu alichotufanyia mzee wenu kamwe hatutokuja kukisahau
 
Safari hata wakiiba hawatakwa na backup kama waliokuwa nayo zamani.
 
Kweli Kabisa Kwani Hata Neno CCM Kwenye Mikutano Halitamki Kabisa....Utasikia Serikali ya Magufuli Itakuwa ya Viwanda..Tu
 
Tokea JPM aanze kampeni zake "huru" ameahidi viwanda 105 katika mikoa 14 tu.JMK amekaa miaka 10 Magogoni,amejenga vingapi na ameua vingapi?
 
CCM ilianguka zamani. Inatumia mabavu kulazimisha kutawala but the party ceased long time ago.
 
Baada ya oktoba 25 maneno yenu na shombo zenu zoooote zitaisha itabaki KAZI TU chagua CCM chagua MAGUFURI FOR CHANGE
 
Inasemekana(kwa mujibu wa wanachato wenyewe kupitia Star TV)ni kwamba LOWASSA alijinyea hadharani pale stand ya chato

mimi tangu ni sikie hizi tetesi na tafakari kuhusu wale wasaidizi wanao simama nyuma ya hawa viongozi, kozi zao shuleni wanajifunza kukabiliana na matukio kama haya.

au inabidi mtaala ukarabatiwe? ili kama jamaa akiwa rais wa weze kukabilana na hali ya aina hii.
 
Safari hata wakiiba hawatakwa na backup kama waliokuwa nayo zamani.

Hii habari ya kuibiwa ishaanza kuonyesha kuwa mwaka huu mambo ishakaba watu.
Ushaona unapigwa sasa unatafuta mlango wa kutokea.
Haibiwi mtu maana matokeo yote yanabandikwa vituoni na waangalizi wanacheki mpaka kura zinavohesabiwa.

Kaa utulie..bado siku thelathini na ngapi.....?
 
It nice observation. Chama hakuna. Timu ya ushindi haijulikani ilipo.! Labda ipo kwa lubuva
 
Hii habari ya kuibiwa ishaanza kuonyesha kuwa mwaka huu mambo ishakaba watu.
Ushaona unapigwa sasa unatafuta mlango wa kutokea.
Haibiwi mtu maana matokeo yote yanabandikwa vituoni na waangalizi wanacheki mpaka kura zinavohesabiwa.

Kaa utulie..bado siku thelathini na ngapi.....?

Bado 32 days
 
Sasaiv ni chagua magufuli sio chagua ccm. Wamemtoa kafara ccm imfie
 
Back
Top Bottom