Kwa sasa CCM ni kaka chama ambacho kimechoka na kukata tamaa kabisa.
Kimebaki kuendesha mikutano yake kama matamasha na kuzungusha watu Dar kwenda kujaza mikutano ya viongozi maeneo mengine.. Kama vile wasanii.
Kwa kiasi kikubwa wasanii ndio wanakiendesha chama. Sio mbaya kwa sasa ni wananchi.
Shida ni pale kinabaki na wasanii peke yake na kuondoka kwenye vinywa vya wananchi. Hataka kama Rais atafanya mambo mangapi ila kama hamna wa kuyatetea na kuyajengea hoja hamna kitu.
Huku mtaani raia wa kawaida wahaoni kabisa anachofanya Samia hapo ikulu na wengine bado wako kwenye kutoongozwa na mwanamke.
CCM changamkeni ili chama kisife kabla ya July.