Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,505
THIS IS VERY SERIOUS AND CRITICAL.
MFUMO WETU WA SIASA UMEFELI NA HATUONI HAJA YA KUFIKIRI UPYA.
Na:Joseph Mshinga.
1.Mfumo wa ujamaa chini ya Nyerere haukuzaa matunda ya kulifanyia mageuzi makubwa taifa.
hivyo ulifeli kwa miaka yake yote 25.
2.Mfumo ulioingizwa kinyemela wa ubepari nao umeshindwa kulifanyia mageuzi makubwa taifa letu ili lijitegemee.
hivyo mfumo huu nao umefeli kwa miaka yake zaidi ya 25.
LAKINI BADO TUNAHUBIRI,KUPANGA NA KUTENDA SIASA HIZOHIZO TUKITEGEMEA NCHI ITAKUJA KUWA TAIFA LINALOJITEGEMEA KAMA INAVYOTAKA KATIBA YETU KWA SIASA ZILE ZILE NA SERA ZILEZILE.
visingizio vyote vinavyotumika bado si sahihi kuwa ndio sababu za sisi hatujaendelea.
1.Visingizio vya rushwa.
2.Visingizio vya CCM kuongoza nchi pekee yake tena wakati mwingine kwa kubaka Demokrasia.
SABABU NI MOJA TU.
mfumo wetu wote katika siasa umefeli sawa na mifumo tofauti ilivyofeli katika nchi zingine za Afrika maana mpaka hapa naandika bara la Afrika ni bara pekee duniani linalokaliwa na watu ambalo limeshindwa kufanya mapinduzi ya viwanda kwa zaidi ya miaka 200 toka kutokee mapinduzi haya ambayo yamebadili kabisa maisha ya wanadamu kote ulimwenguni.HII NI AIBU KUBWA KATIKA TAIFA NA BARA LETU LOTE.
Tunaonekana ni watu tusio na maana yoyote,tusiojua lolote,tusio na uwezo wowote kisa tumebakia peke yetu tulioshindwa kupiga hatua hata kwa kuangalizia kama hatuwezi kukomaa wenyewe.
Kama hoja ni chama tawala kubakia kilekile kuna vyama tawala Afrika vimeondolewa madarakani lakini hali ni ileile.
Kama ni rushwa hakuna nchi yenye kiwango sifuri cha rushwa kote duniani.
Kama ni uongozi mbovu upo pia katika mabara mengine.
lakini vyote hivyo havikuzuia mataifa hayo katika mabara hayo mengine kupiga hatua kubwa katika mageuzi ya uchumi.
Kama tuna mfumo wa siasa ambao hauna msaada na hautusaidii kuleta mageuzi makubwa hatuna haja kuendelea nao kwa gharama yoyote.
lazima tuje na mawazo mapya na kuufuta huu mfumo na kuleta mfumo mbadala.
Maamuzi ni kwa ajili yetu.
Mipango ni kwa ajili yetu.
kama kila siku tunasubiri kuelekezwa nini tufanye na yeyote awaye kama miradi ya MCC basi hatulisaidii taifa wala kizazi kijacho kwa kuendelea na mifumo hiihii iliyoshindwa vibaya.
WE MUST ADDRESS CRITICAL ISSUES OF OUR COUNTRY.
Kinachouma zaidi kwa sasa mijadala haipo tena ama imefifia sana ama haiangazii tatizo hili nyeti kabisa.
Wasomi wapo kimya.
vijana wapo kimya.
wanasiasa wapo kimya.
Joseph Mshinga.