CCM imeacha kusomba watu kwa malori? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM imeacha kusomba watu kwa malori?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tindikalikali, May 20, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Namuona Katibu mkuu wa CCM katika harakati zao za kujivua gamba huko Serengeti. Hivi wameshindwa kusomba watu au nao ni mkakati wa kujivua gamba?
   
 2. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mhhhh Mkama na Nyerere Jr wametia huruma sana masikini......
   
 3. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hebu tujuze, wanasombwa kwa hiace au mashangingi?
   
 4. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hebu tujuze, wanasombwa kwa hiace au mashangingi?
   
 5. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  wametia huruma sana, eti wanataka kukirudisha chama kitetee wanyonge, lakin nan kawafikisha huko na wao walikuwa wapi?
   
 6. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Malori,

  matolori,

  mikokoteni,

  Huku wakiwa wamevaa:

  Kandambili,

  vitenge vya kchna,

  mafulana

  Huku wakiwa wamepakatana kama dagaa,

  wamebeba mangoma!
   
 7. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Mafisadi wameacha kutoa fedha za kusombea watu kwenye magari ndio maana unaona hamna watu kwenye mikutano ya chama cha magamba.
   
Loading...