Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
Jibu hoja, maana inashangaza, hamjui maana ya Birthday? Leo mnasherehekea nini? Pre birthday! Mwenyekiti dhaifu sana hata tarehe?Wewe ndio walewale!!!!!!!!!!
Badala ya kusikiliza taarifa zilizotolewa na wahusika, wewe unatengeneza taarifa yako halafu unajiuliza swali kutoka kwenye taarifa hiyohiyo uliyotengeneza mwenyewe. Haya jijibu basi...
Hivi kweli mantiki ya wao kuadhimisha leo tar 3 ni nini?
Tangu nikiwa mdogo najua ni tar 5 february 1977
Mkuu huyu jamaa ameshakuwa kituko hapa jamviniJibu hoja, maana inashangaza, hamjui maana ya Birthday? Leo mnasherehekea nini? Pre birthday! Mwenyekiti dhaifu sana hata tarehe?
Wewe ndio walewale!!!!!!!!!!
Badala ya kusikiliza taarifa zilizotolewa na wahusika, wewe unatengeneza taarifa yako halafu unajiuliza swali kutoka kwenye taarifa hiyohiyo uliyotengeneza mwenyewe. Haya jijibu basi...
wameamua kubadilika mwaka huu kwa sababu ccm wengi ni waajiriwa wameona ni bora wafanye sherehe weekend ili siku ya tarehe 5 ambayo itaangukia siku jumanne watu waende kazini kama kawaida. nawasifu kwa hili kwa kuamua kuijenga nchi kwa vitendo.Ccm leo inatimiza miaka 36 baada ya kuzaliwa tar 5.2.2013.
Ninajiuliza ni hofu gani iliyokishika chama kilichokwisha kuvunja ungo kuogopa kufikisha siku ya kuzaliwa.
Wadau na wanaccm naombeni mnisaidie hapa.
"Kuzaliwa kwa chama kipya tarehe tano mwezi wa pili sabini na saba ehee mungu kipe baraka" nimenukuu wimbo ambao nilikuwa nausikiliza wakati mdogo iweje magamba wanasherekea tar 3? Maumivu ya kichwa uanza taratibuHivi kweli mantiki ya wao kuadhimisha leo tar 3 ni nini?
Tangu nikiwa mdogo najua ni tar 5 february 1977