Wanaangahika sana.Watakuja na misamiati,wanajiona wao hawatoshi hadi wanakodi akina Slaa,Makamba,lakini msimamo wetu bado upo pale pale.Watueleze miaka 53 ya kuongoza.nchi wametufanyia nn.Mm nina uhakika wakati Mwalimu anapokea nchi toka kwa wakoloni hakuna mwanafunzi aliyekuwa anakalia kipande cha tofali na pia madawa yalikuwa tele kwenye hospitali zetu.Mwaka 70 mliwakaribisha hao wazungu kuja kuona tulikofikia.Leo ni miaka 53 sijasikia tena mnawaita waje kuona.maenderleo yetu.Mtadai labda wakina Turnbul wameshakufa.Mwiteni hata. mtoto wa Elzabeth aje aone
Mnaona aibu.Dola 1 ilikuwa shs7.50 wakati mnakabidhiwa nchi.Hatutaki cha muadhin wala mnadi sala.Nendeni kando kwanza tuanze kujipanga upya.Hii ni zaidi ya aibu.