Tusidanganyane, ukweli ni kuwa wananchi hawana imani na tume ya uchaguzi, wanachokifanya sasa hivi ni kususa kwa sababu bado hawajapigika kisawa sawa
Kuhusu kwa nini unaona kuwa hawapo na cdm ni kwa sababu hakuna mantiki , chadema sio suluhisho la kuitoa ccm kwa sasa ccm haiwezi kutoka kwa maneno, ccm itatoka kwa damu kumwagika kama mkolpni au Ke. Na muda wa wabongo kumwaga damu iki kuitoa ccm bafo haujafika ila nfio tunaelekea huko.