CCM iko imara

Hata na KANU ya Kenya ilikuwa imara zaidi na Leo marehemu. Subiri 2014 na 2015 utaona Kama imara au siyo maana Nyinyi Mapumbu mtawekwa chaliiiiiiiiiii

mbupu ba..a ako.
 
Aliyeleta uzi huu kichwani hazimtoshi!! Ccm iko imara kwa kuua watu,kubambikiza kesi za ugaidi,kung'oa watu kucha na meno,kumwagia watu tindikali,kurusha mabomu na kuteka watu.
"Ccm wote watoto wa mkulima"
 
 
ccm imeimarika kivipi au kulipua watz na mabomu? Endelea kujifariji hivyo hivyo...
 
CCM iko imara!
Iko imara katika kuhakikisha rasilimali zote zinasombwa na wageni kabla haijaondoshwa madarakani!
CCM ni imara katika UDALALI wa rasilimali zetu!
Nani abishe?
 
Hongera zako wewe mwenye akili kubwa lakini umeamua kutoitumia na hivyo kuukubalia uongo toka ndani ya Serikali hii dhalimu ambayo utendaji wake ni SIFURI.

Akili yako ndogo ndio inakutuma hivi.
 
Obama mwenyewe amekiri kuwa serikali ya ccm ni noooooooooomaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hakika makombo ya ziara ya obama yamekulewesha.Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…