Endapo kura ziki hesabiwa kwa uwazi na kuthibitika ccm imeanguka katika matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2015 itakuwa rathi kukubali matokeo hayo na kukabidhi madaraka ya nchi kwa chama kilicho shinda? Kama hakita kuwa rathi kufanya hivyo tufanye nini sisi wapiga kura?.