Ccm ijayo ndio hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm ijayo ndio hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by UMMATI WAWATU, Apr 14, 2011.

 1. U

  UMMATI WAWATU New Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. M

  MVUA GAMBA Senior Member

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  so wat?
   
 3. s

  sativa saligogo Senior Member

  #3
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni ya wapiga filimbi wa Hamelin? Yaani kila aliyechaguliwa anasema bila hata mpaka!!!!Ya kuvuana magamba! Maneno ya Baba wa Taifa kutimia! Vipande mbendembende kama ilivyokuwa Sauz Afrika, lkn kama watazingatia ushauri wa Nyerere foundation na kumsikiliza saboddo watavuka vinginevyo,No longer at easy!

  the centre can not hold anymore!????
   
 4. m

  magiri Member

  #4
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ingawa mimi siyo mwanachama wa chama cha siasa,kwa maana kutokuwa na kadi na siyo kutounga mkono mazuri yanayofanywa na chama chochote,nina ushauri kidogo kwa ccm ijayo. kinachoisumbua ccm hasa ni kiongozi wake wa juu kabisa na hapa nataka kumaanisha jk.kuna usemi usemao every thing rises and falls on leadership. migogoro ambayo inataka kukiua chama kimsingi inasababishwa na weak leadership of the toppest leader of the party. ni kweli kiasi anafuata dhana ya collective leadership, lakini kumbuka haiwezi kuwa wakati wote collective leadership. kwa nini kuna kiongozi mkuu? ili atoe njia na kuonyesha uwelekeo. ajabu yeye mwenyewe ameshiriki kwa nguvu kucampaign kwa ajili ya watu ambao kimsingi alitakiwa atoe mawazo siyo tu ya kushughulikia watu waliokipaka chama chake matope hata kura zake kupungua baada ya uchaguzi, bali alikuwa toka mwanzo kabisa na uwezo hata wakupendekeza na labda kuamuru watu hao wasigombee kabisa hata katika kura zao za maoni. kama siyo yeye kufanya ulitaka nani aanze?" everything rises and falls on leadership". kumefanyika uvuaji wa gamba ni sawa, lakini gamba kubwa halikuvuliwa, je tuna uhakika gani kwamba magamba mapya! hayataka kuwa influenced na gamba kuukuu- jipya jk? ningekuwa niko kwenye vikao vya cc na nec vya ccm, mtu ambayo ningepropose awe mostly scrutinized angekuwa ni jk. sasa nani? makamba and others who were forced to resign are just scape goats since they were working under him. ajabu ni kwamba huoni mahali popote ambapo huyu mwenyekiti anabanwa instead anaungwa mkono na makofi kwa kila jambo kana kwamba he is a maiden and brand new party leader!. udhaifu namba moja wa ccm ni uongozi wake na hasa the top leader. ni vizuri kuwapendeza watu kwa mambo ya msingi lakini huwezi kujipendezesha kwa watu wakati wote. jk wants to be men pleaser all the time. hii ni sumu katika uongozi. kiongozi anayeogopa maadui wakati anasimamia wajibu wa maslahi sahihi ya watu hafai kuongoza.jk ana element hizi, abadilike!
   
 5. M

  MVUA GAMBA Senior Member

  #5
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  CCM ijayo ama SISIEMU MFU?
   
 6. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  :rip::nimekataa:nimekataa:nimekataa:majani7::mvutaji::shetani:
   
Loading...