Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 8,300
- 13,199
Tumshukuru Mungu kwa kuwapa akili wale waliobuni hili Tamasha ili ndani ya tamasha hilo watu watoe Nyong'o zao na mlengwa azioneMambo yamebadilika, dunia imebadilika karne hii tuliyopo ni karne ya teknolojia na mabadiliko, watu wengi hivi sasa ni waelewa, teknolojia imerahisisha upatikanaji wa habari hasa zile habari ngumu, kuishi katika zama za uchawa na upotoshaji hakutaisaidia CCM sanasana itaipeleka shimoni, ni wazi chama hiki kimechokwa na umma wa watanzania, mbinu zake ovu za utekaji na uuaji zimeshafahamika na wengi na zimejenga chuki na uhasama baina ya wananchi na serikali yake, ni wazi chama hiki na serikali yake inabidi vibadilike kuanzia mtazamo, na miongozo yake, mimi si mtabiri lakini kama chama hiki kitaendelea na mbinu zake hizi haramu basi anguko lake haliko mbali ni suala la muda tu, tukio la tamasha la wasanii limedhihirisha wazi chama hiki kimechokwa na kinaitaji kubadilika ni hayo tu.
CCM sasa hivi wameigeuza nchi yetu kama mashamba yao ya kurithi.Ukweli hawana jipya
wanananchi wamewachoka
anguko la utawala lipo karibu kwa sababu ya matendo ya utekaji, wizi wa kura, kuua watu, ufisadi
Wenyewe wanajigamba wanadola!Mambo yamebadilika, dunia imebadilika karne hii tuliyopo ni karne ya teknolojia na mabadiliko, watu wengi hivi sasa ni waelewa, teknolojia imerahisisha upatikanaji wa habari hasa zile habari ngumu, kuishi katika zama za uchawa na upotoshaji hakutaisaidia CCM sanasana itaipeleka shimoni.
Ni wazi chama hiki kimechokwa na umma wa watanzania, mbinu zake ovu za utekaji na uuaji zimeshafahamika na wengi na zimejenga chuki na uhasama baina ya wananchi na serikali yake, ni wazi chama hiki na serikali yake inabidi vibadilike kuanzia mtazamo, na miongozo yake.
Mimi si mtabiri lakini kama chama hiki kitaendelea na mbinu zake hizi haramu basi anguko lake haliko mbali ni suala la muda tu, tukio la tamasha la wasanii limedhihirisha wazi chama hiki kimechokwa na kinaitaji kubadilika ni hayo tu.
CCM haiwezi kubadilika kama think tanks wake ni hawaMambo yamebadilika, dunia imebadilika karne hii tuliyopo ni karne ya teknolojia na mabadiliko, watu wengi hivi sasa ni waelewa, teknolojia imerahisisha upatikanaji wa habari hasa zile habari ngumu, kuishi katika zama za uchawa na upotoshaji hakutaisaidia CCM sanasana itaipeleka shimoni.
Ni wazi chama hiki kimechokwa na umma wa watanzania, mbinu zake ovu za utekaji na uuaji zimeshafahamika na wengi na zimejenga chuki na uhasama baina ya wananchi na serikali yake, ni wazi chama hiki na serikali yake inabidi vibadilike kuanzia mtazamo, na miongozo yake.
Mimi si mtabiri lakini kama chama hiki kitaendelea na mbinu zake hizi haramu basi anguko lake haliko mbali ni suala la muda tu, tukio la tamasha la wasanii limedhihirisha wazi chama hiki kimechokwa na kinaitaji kubadilika ni hayo tu.
Huwezi kujenga hoja pasipo kutumia vielelezo feki?CCM haiwezi kubadilika kama think tanks wake ni hawa View attachment 3627663View attachment 3627664
Hiyo ni fasihi ya sanaa katika kufikisha ujumbe husika, vipi mkangafu umeamkia kichwani ?Huwezi kujenga hoja pasipo kutumia vielelezo feki?
SawaHiyo ni fasihi ya sanaa katika kufikisha ujumbe husika, vipi mkangafu umeamkia kichwani ?
Wenyewe wanajigamba wanadola!