ccm huu msindikizo wa Lowasa mmeandika lakini?

lubamba

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2015
Posts
947
Reaction score
617
Nawakumbusha ccm kama ya leo hamjaiandika tafuteni kalamu.Nangole wa Arusha kawapungia mkono wa kuwaaga kisha akahaidi wasaidizi wake saba hawajapata nauli ya kuja Dsm.Amehaidi kuwakabidhi kwa Ngoyai sku akitia timu Arusha.Nawaauliza tena ccm,hii nayo mmekumbuka kuiandika?
 
:ballchain:

Nimekupata ...'Panga'...Unaandika lakini???ahahhahahah
 
Hahahahaaaaaaa Si UNAONA NAORODHESHA, LOWASSA, LEMBELI, BULAYA, MEDEYE...........................
 
… watawezaje kuandika wakati hali zao ni tete!?.. wanatetemeka presha zimewapanda…
 
Back
Top Bottom