CCM hoi kigoma

CCM hoi kigoma

Jalim

Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
19
Reaction score
0
ccm wajuta kumfunga maranda kwani ndie mtu pekee alie waingiza watu wengi ccm kuwatoa chadema ila baada ya kumfunga maranda wenyewe wanamwita muasisiwa yalemakundi makubwa na matawi makubwa yamerudi kuwa makundi ya siasa hasa kuipigia debe cuf daada ya kuu
 
Lizwa kwanini hamkurudi chadema walisema chadema tuliipa nguvu na kufanikiwa kumtoa mbunge ambae sio mtanzania niraia wa burundi naushaidi upo lakini chadema walituzodoa nasi tuna wa zodoa
 
Anza mwanzo unataka kusema nini? Unamaaanisha ccm hoi cuf hoi au cdm hoi kighoma? ,sijakupata
 
ccm wajuta kumfunga maranda kwani ndie mtu pekee alie waingiza watu wengi ccm kuwatoa chadema ila baada ya kumfunga maranda wenyewe wanamwita muasisiwa yalemakundi makubwa na matawi makubwa yamerudi kuwa makundi ya siasa hasa kuipigia debe cuf daada ya kuu
Kazi wanayo kumbe watu wa Kigoma ni vilaza wa siasa kiasi hicho
 
Huyo Maranda si ndio nasikia alielekezwa kutumia hela za EPA (zilizomfunga) kuisaidia CCM kule Kigoma? Tena kuna habari kwamba hata Walid Kabourou alinunuliwa kwa pesa hizo, na ndizo zilizomuondoa Chadema. CCM ni majambazi!
 
Na chadema vipi naibu katibu mkuu zitto kabwe anatoka kigoma je amesaidiaje chadema kupata majimbo mengine?
 
ccm wajuta kumfunga maranda kwani ndie mtu pekee alie waingiza watu wengi ccm kuwatoa chadema ila baada ya kumfunga maranda wenyewe wanamwita muasisiwa yalemakundi makubwa na matawi makubwa yamerudi kuwa makundi ya siasa hasa kuipigia debe cuf daada ya kuu

Nashindwa kuelewa unachokijadili, jaribu kuleta ufafanuzi zaidi tukuelewe.
 
Hueleweki kabisaaa,weka vizuri hilo jungu ueleweke mana ni wazi huna cha maana hapo.
 
Back
Top Bottom