mi sijawahi kuwa mwanachama wa ccm hata kufikiria sijawahi, wakiona unafanya biashara wanakuletea watu wengi wamepewa sasa jana walikua wanapita kudai michango nikawaambia sina hata mia, mzee mmoja akaniita akaniambia niwape msimbaz eti nisipo toa wanaweza niletea fitina, nikagoma maana bora hiyo pesa nichambie kuliko kuwapa hawa watu