YAHAYAMOHAMED1970
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 229
- 96
M/kiti amechanganyikiwa, katibu amevurugwa,katibu mwenezi hajielewi, Wabunge wamevurugwa, madiwani hawajielewi wanachama wamevurugwa na pombe Kali inayoitwa lowasa
M/kiti amechanganyikiwa, katibu amevurugwa,katibu mwenezi hajielewi, Wabunge wamevurugwa, madiwani hawajielewi wanachama wamevurugwa na pombe Kali inayoitwa lowasa
Shetani alikimbizwa mbinguni ila ccm wanaikimbia mkuu
Kukimbia ni kawaida..hata shetani alivyokatwa mbinguni...alikimbia na kundi la pepo wachafu
yakhe ndorobo kimario ushapata kisusio shekhe?! arusha na moshi unganeni mmpigie mgombea wenu, sisi kanda zingine na siye wazanzibar tumpe magufuli tuone atashinda nani yakhe
nilivyoona title nikajua topic imeanzishwa na mkilimanjaro na imekuwa kweli. yakhe nyie waarusha na wakilimanjaro na umoja wenu wa ukawa ndo mmechanganyikiwa, mwafikiri kwa vile mmetapakaa nchi nzima ntalazimisha mtu wenu mchafu awe rais mkaudumishe mfumo kaskazini(zamani ukiitwa mfumo kristo). mtajidanganya sana.
huo ubaguzi wenu wa kaskazini kwenye ajira na biashara tunauona na toka tupo wadogo, na muda huo hamjatoa rais. simtatuhamisha nchi mkitoa rais? ni mjinga zezeta atakayeipigia ukawa kura,
Acha fikra za kinadharia bhana.Siku hizi hatuishi kwa hadithi za kimapokeo za kusimuliwa pembeni ya moto jioni.
Hakuna wa kumzuia Lowassa chini ya UKAWA kushinda uchaguzi wa mwaka huu.
Hata huyo Magufuli analijua hili basi tu hana jinsi ila angeweza angeshasurrender.
nilivyoona title nikajua topic imeanzishwa na mkilimanjaro na imekuwa kweli. yakhe nyie waarusha na wakilimanjaro na umoja wenu wa ukawa ndo mmechanganyikiwa, mwafikiri kwa vile mmetapakaa nchi nzima ntalazimisha mtu wenu mchafu awe rais mkaudumishe mfumo kaskazini(zamani ukiitwa mfumo kristo). mtajidanganya sana.
huo ubaguzi wenu wa kaskazini kwenye ajira na biashara tunauona na toka tupo wadogo, na muda huo hamjatoa rais. simtatuhamisha nchi mkitoa rais? ni mjinga zezeta atakayeipigia ukawa kura,
Mbona wanakimbia mkuu!! Kitu imara watu wanakimbia kweli
nadhani una mawazo potofu na upeo wako wa kufikiri ni mdogo sana nachelea kukuita zezeta. jitahidi kujikwamua kutoka kwenye fikra za kibaguzi na chuki namna hiyo..
CCM mna uroho wa madaraka na ndiyo maana hata kura mnaiba, CCM sikupi kura, tena kafie mbali shetani (CCM) na wote tuseme . Aminahamna kitu kama iko kwan ccm kitachukua ushindi mapema sana...upinzani wenyewe washaanza kuvulugana makamanda wanaondoka...ni waroho wa madaraka... ccm kina nafasi nzuri ...vote ccm