CCM Hawakushangilia Jana,Wanashangilia Leo Kunani?

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Magufuli alitangazwa mshindi jana.Lakini cha kushangaza na kujiuluza jana sikuona shamrashamra mitaani.Hata kama zilikwepo sio kwa kiwango kile kilichotarajiwa kama ilivyokuwa kwa JK 2005
Lakini siku moja baada ya kutangazwa.Yani leo tarehe 30 kila sehemu naona ccm waki celebrate najiuliza,Jana hawakuamini JP kashinda?Au ni utaratibu wa kushangilia ushindi 2015 kushangilia ki digital.Tubadilishane uzoefu.
 
Bado Zenji hakueleweki hivyo ni lazima kushangilia kwa step....!
 
Wanashangilia kwa masaa kadri walivyo pewa takrima, kwani c furaha inayotoka katka mioyo yao
 
Magufuli alitangazwa mshindi jana.Lakini cha kushangaza na kujiuluza jana sikuona shamrashamra mitaani.Hata kama zilikwepo sio kwa kiwango kile kilichotarajiwa kama ilivyokuwa kwa JK 2005
Lakini siku moja baada ya kutangazwa.Yani leo tarehe 30 kila sehemu naona ccm waki celebrate najiuliza,Jana hawakuamini JP kashinda?Au ni utaratibu wa kushangilia ushindi 2015 kushangilia ki digital.Tubadilishane uzoefu.

Unaiaibisha Hiyo AVATAR Ya Hayati Baba Wa Taifa Nyerere, Kwani Tunaomjua Hakuwa Na AKILI au UPEO Wa KIPOPOMA Kama Huu Ulionao Na Uliouonyesha Ktk Huu UZI Wako.
 
Back
Top Bottom