utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Ukishaona habari inaandikwa jumla jumla wakati chama kina msemaji ujue hiyo imewekwa makusudi ili hojaji ya nani alisema ipate uhai!!!!!!
Mbona jina la mwenyekiti wa bunge umeweka? ?????!!!!
Weka jina la aliyesema kwa niaba ya chama ili kupata kumbukumbu sahihi na historia ikae sawa!!!!!
Ccm imesema haiwezi kuwabembeleza ukawa, wala kuwaangukia warudi kwenye meza ya mazungumzo na hatimaye warejee kwenye bunge hapo mwezi augost. Aidha ccm imempiga stop samwel sitta kufanya mazungumzo na ukawa. Ccm imesema yanayofanywa na UKAWA ni utoto, na wao kama chama hawawezi kucheza ngoma ya kitoto, wala hawataruhusu serikali ya chama chake kucheza ngoma ya watoto....wakikua wataacha.
Uliwahi kuona punguani anaandika habari kwa ukamilifu wake?
Anhaaa kumbe???!!!
Ulikua hujui? Kuna wengine wanalia hadharani kutetea uovu wa wahujumu uchumi, je, nao unategemea wataandika habari kwa ukamilifu?
CCM inampiga stop Samuel Sitta kuzungumza na UKAWA kwa mamlaka ipi?Ccm imesema haiwezi kuwabembeleza ukawa, wala kuwaangukia warudi kwenye meza ya mazungumzo na hatimaye warejee kwenye bunge hapo mwezi augost. Aidha ccm imempiga stop samwel sitta kufanya mazungumzo na ukawa. Ccm imesema yanayofanywa na UKAWA ni utoto, na wao kama chama hawawezi kucheza ngoma ya kitoto, wala hawataruhusu serikali ya chama chake kucheza ngoma ya watoto....wakikua wataacha.
Hako ka kakobe hakakui? Tunaongea na mwenye kobe sio hako kakobe
Kasome waraka wa Askofu Kakobe kwa rais wenu na chama chenu. Kiburi chenu ndo kitawaangamiza. Mmeifanya nchi hii kama mali ya CCM. Mjue kuwa wapo Watanzania wengi ambao si wanachama wa vyama vya siasa. Laiti ingekuwa katika uwezo wangu ningeamua nchi hii isiwe na vyama vya siasa. Kwani hatuwezi kuendesha maisha bila ya vyama vya siasa? Nianavyo mimi nchi inaweza kuendeshwa bila ya vyama vya siasa na bado maisha yakenda vizuri, ili mradi kuwe na usimamizi mzuri wa sera za maendeleo na sheria za nchi .
Oowk mkuu!!!!
CCM inampiga stop Samuel Sitta kuzungumza na UKAWA kwa mamlaka ipi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
ccm ni sawa na gari ambalo halina oil kwenye engine :embarassed2:
Hako ka kakobe hakakui? Tunaongea na mwenye kobe sio hako kakobe
naona jambo hili limekukera hadi ukatoka msituni. Mzima weye?CCM inampiga stop Samuel Sitta kuzungumza na UKAWA kwa mamlaka ipi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Chama dolaCCM inampiga stop Samuel Sitta kuzungumza na UKAWA kwa mamlaka ipi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama kweli CC ya CCM chini ya Kikwete ndiyo imetoa azimio hilo la kumpiga stop mwenyekiti wa BMK Samuel Sitta kutokutana na baadhi ya wajumbe wa BMK, waliosusia BMK, basi CC ya CCM na Kikwete wana matatizo makubwa kuliko tunavyofikiri!Ccm imesema haiwezi kuwabembeleza ukawa, wala kuwaangukia warudi kwenye meza ya mazungumzo na hatimaye warejee kwenye bunge hapo mwezi augost. Aidha ccm imempiga stop samwel sitta kufanya mazungumzo na ukawa. Ccm imesema yanayofanywa na UKAWA ni utoto, na wao kama chama hawawezi kucheza ngoma ya kitoto, wala hawataruhusu serikali ya chama chake kucheza ngoma ya watoto....wakikua wataacha.