Pengine nishauri kwa chama chetu tawala kwa hali jinsi ilivyo na upepo wa kisiasa unavyoenda kina polepole makonda, uvccm na makada wengine hatuwezi kumshinda lowasa kwa kumkashifu na kumtukana majukwaani.Kwanza Lowasa mwenyewe hata haangaiki kuwajibu anajua anachofanya.Kwa kuendelea kumkashifu ndo mnazidi kumpaisha maana wananchi wanaona kama mnampiga mawe je nyinyi ni wasafi?
Njia pekee ya kumshinda huyu bwana ni kuleta HOJA MBADALA NA ZENYE NGUVU vinginevyo ni kuzidi kumpaisha na inavyoelekea wananchi washaamua ni Lowasa liwalo na liwe
Njia pekee ya kumshinda huyu bwana ni kuleta HOJA MBADALA NA ZENYE NGUVU vinginevyo ni kuzidi kumpaisha na inavyoelekea wananchi washaamua ni Lowasa liwalo na liwe