CCM Hali mbaya, Janja yake Yabainika !

Si wote maasokofu ni wacha Mungu kiukweli wengine akiona kumetokea tishio la maisha yao wanasaliti helihali wakijua ukweli
 
Inategemea wewe una maana gani unaposema mjing a! Kwa mtazamo wangu wote wanaopenda serikali mbili ni werevu sana kwa sababu wanalinda mfumo unaowahakikshia usalama wao.

Usalama upi?
 

Kweli mkuu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…