Komborakombora
Member
- Sep 4, 2025
- 6
- 5
takataka lingine limejiunga jana! takatakaUkweli ni kwamba huwezi kumlazimisha mtu asiyetaka kuja kwenye mkutano. Hata umpe usafiri, kama hataki, hataki.
Vilevile, mikutano ya CCM imekuwa ikihudhuriwa na maelfu ya wananchi. Sasa kama basi moja linabeba watu 65, je, utahitaji mabasi mangapi kuwasomba maelfu ya watu? Hilo haliwezekani.
Ukweli ni kwamba CCM ni chama kinachopendwa na wananchi wengi, na hiyo ndiyo sababu mikutano yake inajaa bila kulazimishwa.
Huwezi kufunja imani na mapenzi ya wananchi kwa CCM, kwani chama hiki kimejikita kwenye
mioyo yao
CCm kinapendwa ila kinaogopa Uchaguzi Huru na wa Haki, Bila kumfunga TAL msingetoboa mwaka huu!Ukweli ni kwamba huwezi kumlazimisha mtu asiyetaka kuja kwenye mkutano. Hata umpe usafiri, kama hataki, hataki.
Vilevile, mikutano ya CCM imekuwa ikihudhuriwa na maelfu ya wananchi. Sasa kama basi moja linabeba watu 65, je, utahitaji mabasi mangapi kuwasomba maelfu ya watu? Hilo haliwezekani.
Ukweli ni kwamba CCM ni chama kinachopendwa na wananchi wengi, na hiyo ndiyo sababu mikutano yake inajaa bila kulazimishwa.
Huwezi kufunja imani na mapenzi ya wananchi kwa CCM, kwani chama hiki kimejikita kwenye
mioyo yao
HAIOMBI INATULAZIMISHA.Ukweli ni kwamba huwezi kumlazimisha mtu asiyetaka kuja kwenye mkutano. Hata umpe usafiri, kama hataki, hataki.
Vilevile, mikutano ya CCM imekuwa ikihudhuriwa na maelfu ya wananchi. Sasa kama basi moja linabeba watu 65, je, utahitaji mabasi mangapi kuwasomba maelfu ya watu? Hilo haliwezekani.
Ukweli ni kwamba CCM ni chama kinachopendwa na wananchi wengi, na hiyo ndiyo sababu mikutano yake inajaa bila kulazimishwa.
Huwezi kufunja imani na mapenzi ya wananchi kwa CCM, kwani chama hiki kimejikita kwenye
mioyo yao
Another new wasted sperm memberUkweli ni kwamba huwezi kumlazimisha mtu asiyetaka kuja kwenye mkutano. Hata umpe usafiri, kama hataki, hataki.
Vilevile, mikutano ya CCM imekuwa ikihudhuriwa na maelfu ya wananchi. Sasa kama basi moja linabeba watu 65, je, utahitaji mabasi mangapi kuwasomba maelfu ya watu? Hilo haliwezekani.
Ukweli ni kwamba CCM ni chama kinachopendwa na wananchi wengi, na hiyo ndiyo sababu mikutano yake inajaa bila kulazimishwa.
Huwezi kufunja imani na mapenzi ya wananchi kwa CCM, kwani chama hiki kimejikita kwenye
mioyo yao
OkeyUkweli ni kwamba huwezi kumlazimisha mtu asiyetaka kuja kwenye mkutano. Hata umpe usafiri, kama hataki, hataki.