Na wewe acha kiherehere mambo ya ccm yanakuhusu Nini au ndo mnatoa taarifa kama alivyosema makonda?kwahiyo kile kiherehere cha kumpa miezi 6 kilitoka wapi ?
Jikite kwenye hoja , JF siyo Lumumba , ukinikuta Lumumba niue , lakini hapa tutachangia kila kinachoandikwaNa wewe acha kiherehere mambo ya ccm yanakuhusu Nini au ndo mnatoa taarifa kama alivyosema makonda?
Huyu ndio miongoni mwa chawa, Lissu aliyekuwa anawasemaNa wewe acha kiherehere mambo ya ccm yanakuhusu Nini au ndo mnatoa taarifa kama alivyosema makonda?
Huku ni kwenye mitandao ya kijamii sio ofisi ya ccm. Mkitaka mambo ya ccm yasijadiliwe humu, yabaki huko huko kwenye vikao vya ndani vya ccm, lakini yakiletwa humu yatajadiliwa , yatabezwa, yatasifiwa nk.Na wewe acha kiherehere mambo ya ccm yanakuhusu Nini au ndo mnatoa taarifa kama alivyosema makonda?
Umeshaambiwa wafu na wazike wafu wao🤣Na wewe acha kiherehere mambo ya ccm yanakuhusu Nini au ndo mnatoa taarifa kama alivyosema makonda?
Hili jamaa ni pumbavu!Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakina shaka na utendaji kazi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwakuwa ni kiongozi Mchapakazi na Mtiifu.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi Paul Makonda amesema hayo leo Alhamisi, November 02, 2023 alipokwenda ofisini kwa Waziri Mkuu Bungeni Jijini Dodoma ambapo amesema lengo la Chama ni kuhakikisha ndoto ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na kuwatumikia na kuwaletea maendeleo Wananchi wote hususani wanyonge inafikiwa.
Makonda amesema “Katika utendaji wa kazi sisi upande wa Chama tuna matumaini makubwa na uwajibikaji na uaminifu wa Waziri wetu Mkuu Kassim Majaliwa, tumemuona katika maeneo mengi akisimamia shughuli mbalimbali za Serikali na nilipotoa agizo la Chama kwa Waziri Mkuu nilitaka agizo hilo lifike kwa Mtu anayeweza kuleta matokeo chanya kwa Chama.”
Kwa upande wake, Waziri Mkuu amesema Serikali imepokea maelekezo ya Chama na kwamba itaendelea kuyafanyia kazi na kuhakikisha migogoro ya ardhi katika maeneo mbalimbali nchini inaendelea kushughulikiwa.
#MillardAyoUPDATES
Mbona yakiletwa mambo ya chadema huwa mnawaambia wana ccm hayawahusu, mambo ya Ngoswe wamwachie ngoswe mwenyewe?Jikite kwenye hoja , JF siyo Lumumba , ukinikuta Lumumba niue , lakini hapa tutachangia kila kinachoandikwa
Weka ushahidiMbona yakiletwa mambo ya chadema huwa mnawaambia wana ccm hayawahusu, mambo ya Ngoswe wamwachie ngoswe mwenyewe?
Hiyo ni kama funika kombe mwanaharamu apite. Jana maagizo yanatoka kwa "boss lady" ofisi ya PM ipewe pia ofisi ya naibu PM, leo tunamsikia muenezi mpya tofauti kabisa na mienendo na matamko ya wale waliomtangulia akithubutu kutoa maagizo hadharani kwa PM na hata kumpa "ultimatum".Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakina shaka na utendaji kazi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwakuwa ni kiongozi Mchapakazi na Mtiifu.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi Paul Makonda amesema hayo leo Alhamisi, November 02, 2023 alipokwenda ofisini kwa Waziri Mkuu Bungeni Jijini Dodoma ambapo amesema lengo la Chama ni kuhakikisha ndoto ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na kuwatumikia na kuwaletea maendeleo Wananchi wote hususani wanyonge inafikiwa.
Makonda amesema “Katika utendaji wa kazi sisi upande wa Chama tuna matumaini makubwa na uwajibikaji na uaminifu wa Waziri wetu Mkuu Kassim Majaliwa, tumemuona katika maeneo mengi akisimamia shughuli mbalimbali za Serikali na nilipotoa agizo la Chama kwa Waziri Mkuu nilitaka agizo hilo lifike kwa Mtu anayeweza kuleta matokeo chanya kwa Chama.”
Kwa upande wake, Waziri Mkuu amesema Serikali imepokea maelekezo ya Chama na kwamba itaendelea kuyafanyia kazi na kuhakikisha migogoro ya ardhi katika maeneo mbalimbali nchini inaendelea kushughulikiwa.
#MillardAyoUPDATES
Kweli kabisa. Kishaona agizo lake lilikuwa fyongo anaamua kuweka mambo sawa.Hiyo inaitwa damage control