Lowassa, UKAWA mpango wa MUNGU...!!!
Siku hizi hadi VIWANJA vya Mpira, maharusini, masokoni, viwandani, mashambani, vijijini, mijini, vyuoni, mashuleni, kila sehemu ni.
MABADILIKOOOOOOOOOOOOO.... LOWASSAAAAAAAA......
Lowassaaaaaaaaaa..... Mabadilikooooo...
Yaani hakuna mtu anataka kuisikia CCM...!!
Wananchi 95% wamegundua ADUI YAO NI CCM.... CCM ishakufa..!!!
CCM out...!!!