hayo unayotaka tuyajadili yana maslahi gani kwa taifa?
Anna Mkapa alizaa mtoto na Basil Mramba kabla ya kuwa na Mkapa, mtoto mkubwa wa Anna anaitwa Peter ni mtoto wa Basil Pesambili Mramba.
Mimi nilikuwa najuwa Peter ni wa Mkapa ina maana Mkapa hana mtoto?
Nimekuwa curious kidogo na jinsi viongozi wetu
hawa wa ccm wanavyounganisha familia zao....
But tetesi nyingi nazosikia nashindwa kuthibitisha
kama ni kweli au uzushi....
Nitafurahi kama kutakuwa na mtu
atakae nithibitishia hii familly tree kama ni kweli
1.kawawa aliwahi kumuoa anna abdalah???
Waliwahi kuwa na watoto?
2,msekwa na anna abdalah wana watoto????
3.sumaye na mary nagu wana mtoto mmoja???
4.sumaye na martha mlata?????
5.ni kweli kikwete alimuoa mtoto wa zakhia meghji???
6.ana mkapa na mramba?????ni kweli wana mtoto???
7.mkapa na rita mlakki????
8.said mwema ameoa dada yake kikwete?????
9.hivi kikwete ana jumla ya watoto wangapi?
Kwa wanawake wangapi?????
10.ni watoto wa nani wameoana na watoto wa nani????
Kuna mtu aneijua hiyo familly tree vizuri???????
Kusema kwamba ni family tree ya CCM unakuwa haukitendei haki CCM hata kidogo,hao uliowataja ni wana CCM ambao wanaweza wakaondoka CCM muda wowote(wakiamua),na hata hiyo concept yako yenyewe naona ni moja ya mambo ambayo yako too personal(sijajua ni ipi sababu hasa ya kuihusisha na CCM)...Ni vizuri mambo haya ya kifamilia tukawaachia wanafamilia/wahusika wenyewe badala ya kuyahusisha na CCM..Ya kaizari.......
Amekusudia "Family tree za viongozi wa CCM" ambazo kwa kasi hii ya Nape Nnauye na January makamba na Vita Kawawa na Nyerere na Amani Karume na Dk. Mwinyi na .... unapokataa kwamba family tree za viongozi wa CCM ndizo family trees za uongozi wa CCM unakuwa unatumia uzalendo tu, kwa maana uongozi ni kwa kurithishana tu.
Si mnasikia Kikwete naye kashaanza kuandaa kina Ridhiwani mpaka na vitoto vya miaka kumi, North Korea style.
Na bado, msishangae mkiambiwa tutakuwa na rais mwinyi mwingine, halafu Karume, halafu Kikwete mpaka vitukuu.
Bado kubadili jina tu kuiita Sultanate of Tanzania.
Sidhani kama lengo lilikuwa ni hilo uliloliweka wewe maana maelezo yake yanajieleza vizuri tu
Nimekuwa curious kidogo na jinsi viongozi wetu
hawa wa ccm wanavyounganisha familia zao....
But tetesi nyingi nazosikia nashindwa kuthibitisha
kama ni kweli au uzushi....
Nitafurahi kama kutakuwa na mtu
atakae nithibitishia hii familly tree kama ni kweli
1.kawawa aliwahi kumuoa anna abdalah???
Waliwahi kuwa na watoto?
2,msekwa na anna abdalah wana watoto????
3.sumaye na mary nagu wana mtoto mmoja???
4.sumaye na martha mlata?????
5.ni kweli kikwete alimuoa mtoto wa zakhia meghji???
6.ana mkapa na mramba?????ni kweli wana mtoto???
7.mkapa na rita mlakki????
8.said mwema ameoa dada yake kikwete?????
9.hivi kikwete ana jumla ya watoto wangapi?
Kwa wanawake wangapi?????
10.ni watoto wa nani wameoana na watoto wa nani????
Kuna mtu aneijua hiyo familly tree vizuri???????
Na bado, msishangae mkiambiwa tutakuwa na rais mwinyi mwingine, halafu Karume, halafu Kikwete mpaka vitukuu.
.
-George H.W Bush baadaye akaja George W. Bush(Marais wa US)
-Indira Gandhi baadaye Rajiv Gandhi(PMs wa India) na muda si mrefu Rahul Gandhi naye atakuwa PM
-Diosdado Pangan Macapagal na sasa Gloria Macapagal-Arroyo(Marais wa Philipines)
-Néstor Kirchner na sasa mkewe Cristina Fernández de Kirchner(Marais wa Argentina hawa)
Mkuu kama watu wana uwezo wa kuongoza na wanakubalika kwa jamii sioni sababu ya kuwanyima ama kuwatenga uongozi eti kwa sababu baba/mama zao walikuwa viongozi
Sisi hatuongelei Marekani, Phillipines, Argentina wala India, hizo nchi zote zina classic societies na wala hazifichi.
india kuna caste system, ukiwa wa caste moja huwezi hata kuoa mtu wa caste nyingine, kuna wengine ni untouchable ukiwagusa unatakiwa kuoga mara kadhaa, kwa mujibu wa dini yao.Kwa hiyo hao ni utamaduni wao kwamba ukiwa kiongozi utawarithisha wanao, ukiwa mfanyabiashara likewise, ukiwa mwalimu hivyo hivyo, ndiyo system yao.
Marekani nao ni classic society, ukienda Harvard mwanao hata kama si mzima sana seat ya kwenda Harvard kutokana na legacy factor anayo, ndivyo Dubya alivyoenda Harvard.
Sasa ukitulinganisha sie tunaojidai tuna usawa kwa wote na hatuna matabaka na hawa wanaokubali wazi kwamba wana matabaka inakuwa si sawa.
Ama tuache huu unafiki wa kusema Tanzania hakuna matabaka ya watawala na watawaliwa, au tuondoe ukiritimba huu.
Hatuwezi kuwa na ukiritimba wa familia fulani tu kuhodhi madaraka halafu hapo hapo tukajidai eti tuna jamii isiyo matabaka, tutakuwa tunajidanganya tu.
Ukianza kuhesabu the Malimas, Mwinyis karumes etc ambao wako kwenye vyeo vya legacy ni aibu !
Mkuu kama watu wana uwezo wa kuongoza na wanakubalika kwa jamii sioni sababu ya kuwanyima ama kuwatenga uongozi eti kwa sababu baba/mama zao walikuwa viongozi
Hebu tuangalie mifano michache hii hapa chini;
-George H.W Bush baadaye akaja George W. Bush(Marais wa US)
-Indira Gandhi baadaye Rajiv Gandhi(PMs wa India) na muda si mrefu Rahul Gandhi naye atakuwa PM
-Diosdado Pangan Macapagal na sasa Gloria Macapagal-Arroyo(Marais wa Philipines)
-Néstor Kirchner na sasa mkewe Cristina Fernández de Kirchner(Marais wa Argentina hawa)
Mkuu kama watu wana uwezo wa kuongoza na wanakubalika kwa jamii sioni sababu ya kuwanyima ama kuwatenga uongozi eti kwa sababu baba/mama zao walikuwa viongozi
Kila kitu kinaenda kwa proportion, sasa siku hizi inakuwa kama mtindo.
Worse still hata huo uwezo hawana. Mtu kama Mwinyi kafanya nini miaka yote? Ile mibomu ya Mbagala scandal tosha ya kumuondoa, lakini watu wanamuonea soni yeye na babake.
Bado unawatetea tu?
Mkubwa,mimi simtetei yeyote,ninachoongea ni kwamba,si vibaya kama kuna vijana ambao wanao uwezo wa kuongoza na wanatoka katika familia za viongozi(za kisiasa?) wakapewa nafasi ya uongozi..
Kama mtu anao uwezo wa kuongoza na anakubalika kwa jamii anyimwe uongozi kisa tu anatoka familia ya Kikwete,Mwinyi,Mkapa,Malecela n.k,hapana,tutakuwa tunamnyima haki yake ya kimsingi kama Raia wa Tanzania..Cha msingi afuate tu taratibu zote zinazotakiwa kufuatwa katika kupewa hayo madaraka(uchaguzi n.k) na awe na sifa zinazohitajika..Sidhani hapa tunazungumzia kurithishana kama inavyofanyika UK kwa malkia/mfalme,ama kama ilivyotokea DRC baada ya kufa Kabila mkubwa ama Togo baada ya kufa Eyadema na wanao kukasimishwa/kurithishwa madaraka kabla ya uchaguzi
Tuko pamoja mkuu wangu Kiranga
Lakini ukoo wa Bush hautaweza kuendelea kushika Ikulu ya Marekani tena kutokana na kwamba demokrasia ya Marekani kwa sasa imeona mantiki ya kuwa na raisi mwenye asili ya Afrika na kwamba kwa kiwango fulani ataleta mabadiliko ambayo ni muhimu, na mfano tumeona wa bima ya tiba.
Ona huyu kool aid drinker mwingine. Eti Marekani imeona "mantiki" ya kuwa na raisi mwenye asili ya Afrika. What the hell are you talking about?
Na umejuaje ataleta mabadiliko? Hiyo bima ya afya unajua nini kilichomo humo au unaongea kiushabiki tu? Unajua kwamba watu watalazimishwa kisheria kuwa na bima na wasipikuwa nayo watatozwa faini?
Acha hizo wewe...huyu Obama wenu ni one and done. One term president. Angalia kura za maoni kuhusu hiyo bima ya afya uone jinsi ambavyo watu hawajaipenda.
BTW: Nilidhani wazungu wa chama cha Democratic sio wabaguzi. LMAO....NO negro dialect please...Lol