CCM Dar yampiga marufuku Samwel Sitta!

Guninita asimpige marufuku Sitta (kama anayo mamlaka) amwache aendelee kumwaga mchele tuzidi kujua mengi. Hivi ile tuhuma ya Kilumbe Ng'enda kwamba Idd Azzan anahusika na biashara ya madawa ya kulevya Polisi wamefikia wapi na uchunguzi
 
Apigwe stop na kuendelea Kuishi nyumba ya Ana Makinda!
 
Chama chetu cha mapinduziiiiiii chajenga chukiiiiiiiiiii.................
Nape aaaah 6 wajenga chukiiiii...
 
Sitta ni kama Guninita na Guninita ni kama Sitta! Na wote ni kama walivyo Viongozi wa Serikali ya Tanzania...
 
Hawa watu wamechanganyikiwa sana hawaoni mbele Guninita hebu twambie jinsi Nape anawananga wafanyakazi wa serikali,viongozi wastaafu wa chama chake au amemuona Sita tu
 
Sitta ana chama ndani ya chama, anaweza kusema lolote, kwanza nashangaa eti anakaimugi nafasi ya w/mkuu bungeni.

Hapa hakuna kuaminiana. Lakini nashangaa huyo six anawapinga kila siku bado wanampa kukaimu uPM. Kuna siku watampa kukaimu urais na hapo lazima pachimbike.
 
Kwa wale waelewa hizi ndo nyakati za mwisho
za chama cha mazuzu,utasikia kila kona wakigombana waokwa wao!
 
Unapotaka kushinda mbio katika mashindano ambayo hayana kanuni maalum bali kinachoangaliwa ni kushinda na si ulishindaje basi ni ruksa kupiga wengine ngwara, kuvuta shati, kupiga kipepsi ilimradi uwapite wenzako na kuibuka mshindi. Six yuko kwenye mashindano ya namna hiyo kwa hiyo tusimlaumu Magamba hawana code of conduct, hawana spokesperson, hawana regulatory framework, policy au basis ya nani aongee kwa mipaka ipi na aongee nini? Unatakiwa uwe na MDOMO tu na hapo utajua mwenyewe jinsi ya kuutumia kupitishia pumba, upupu, uzushi n.k. ili kuwa shawishi remnants ya wajinga wachache wa nchi hii wakuone unafaa kuwa rais wao mtarajiwa.

Kila mtu anapodhani kuwa anaweza kuongoza waTZ ndivyo anavyotoka kwa hiyo sita ametake advantage ya mazingira hayo ya turbulence ndani ya CCM ili awe ajipatie urais.
 
 
sitta has got nothing to lose,..ccm hawamwamini,upinzani hawamtaki,...chama chake cha CCJ kakitelekeza,.kabakia kuropoka,mara leo awaponde wapinzani eti wanafiki,kesho anawaua ccm kwa kusababisha umasikini,..ignore this old man,..ni rahisi kuona kuwa waanzilishi wa ccj ndio wapo mstari wa mbele kuibomoa ccm,..hawa wakina nape wako very strategic kuiua ccm,.chambua kauli zao utagundua kuwa waligundua kuwa lilikuwa ni kosa kuanzisha ccj wakati ccm bado ipo,so what they do ni kuiua au kuidhoofisha ccm kwanza...big up ccj crew...
 
Apigwe stop na kuendelea Kuishi nyumba ya Ana Makinda!

Na kule tabora alijengewa ofisi ndogo ya spika. na sio ofisi ya mbunge .sijui na makinda naye anajengwa huko jimboni kwake?
 
ni style hii tu ya kuwapiga picha ndio iakayosaidia kuwaaamsha halafu kama umeoona ameweka mkono standby kupiga makofi, yaani huwa wanapiga makofi kwa nguvu pasipo kujua hata ni kitu gani kimesemwa...Mpwa ya lini hiii mbona jamani sijaiiona kabla, vitu vizuri mtuonyeshe na sie sio mfaidi wenyewe, baado na yeye hajakana mashtaka ya kusinzia kama Wassira, ningefurahi kama ningepata picha ya Pinda akiwa amelala sijui atakua anafananeje
ccm cham cha mazuzu***** na watu wenye akili za kawaida na mbaya kabisa, Sitta kilema wa ufahamu, na hao wengine ni watu wasio aminika kabisa, hiko ni chama kinachoangamia ....! kazi yao malumbano,. kelele na rushwa kama si Ufisadi

 
Pengine ana kisukari...si unajua athari za kisukari?? yani unakua hueleweki
 
Ni bora nimuunge mkono Sitta na wapigania haki wengine ndani ya CCM kuliko kuwaunga mkono mafisadi (Rostam, Chenge, Lowassa).
Mafisadi ndo wanakiua chama na si Sitta, anachofanya si sitta ni kujaribu kukiokoa chama na watanzania. wapuuzi wengine wakisha kula hela za mafisadi wanakurupuka na kusema wanaowatetea wanyonge wanakiua chama...
 
Inachekesha kuona Guninita anamshambulia Sitta kwa kutofuata ngazi za vikao vya chama, huku Guninita akiongea katika hotuba live, bila kufuata ngazi za vikao vya chama.

Hypocrisy of the highest order.

Hahaha ahaha!!!!! he made me laugh though with the line below!!!!!!!!!

"Nimekuwa nikienda sehemu mbalimbali utawasikia wanachama wakisema mvue gamba huyo katibu",
 
Hakuna zee nafiki kama hili li Samwel Sitta! Guninita shughulika nalo, kwanza hilo siyo lenzenu ni zee la CCJ, kwa hiyo linafaa kutimuliwa ndani ya chama chenu ili likaendeleze unafiki huko, yani ni sawa na Shibuda ndani ya CHADEMA. Kero tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…