CCM, CUF na CHADEMA

CCM, CUF na CHADEMA

Joined
Jan 18, 2013
Posts
26
Reaction score
9
wakati wa vuguvugu la kudai uhuru wa Tanganyika miaka hiyo mwalimu nyerere alizunguka Nchi nzima akihimiza ushirikiano , kilimo , usawa na ustawi wa jamii hasa baada ya uhuru , aliweka matamanio mengi sana kuwa pindi tukipata tu uhuru kila kitu kitaenda kama walivyopanga na watu wataishoi maisha mazuri sana
Kauli mbiu ya Tanu ilikuwa , HAKI NA USAWA na watu wanaitikia KAZII YA TANU, mshikamano na umoja kazi ya Tanu , leo ukisema UFISADI NA FITINA nadhani utajibiwa kuwa ni kazi ya C.C.M, ukiuliza tena UDINI NA UPEMBA utajibiwa kuwa ni kazi ya CUF, Kukopeshana ruzuku ya chama utajibiwa kuwa ni kaqzi ya CHADEMA, uhafidhina na ukabila utajibiwa kuwa ni kazi ya nani?
 
Usaliti, unafiki, uroho wa madaraka, ugomvi, husda, ufitini, wapokea rushwa, walanguzi wa demokrasia, easy going& cheap politicians utaambiwa ACT.
 
Back
Top Bottom