Napenda kuwatahadharisha Chama tawala kutahadhari na hawa Mafia wa CHADEMA kuhusu kupotea ghafla kwa Slaa kwenye hadhara muhimu za matukio ya CHADEMA.
Huu ni mpango mahsus umepangwa kati ya Slaa na CHADEMA.kuna kamtego hapo mkiingia kichwakichwa mtaumbuka.
Huyu mzee ni mzushi na muongo, msihangaike naye, mnadini Magufuli mbele kwa mbele.