Ni kama nakuelewa hivi, lakini ghafla napoteza dots..uchaguzi wa CWT una uhusiano gani na ccm au siasa kwa ujumla. otherwise you communicate but you fail to deliver the message. Tueleweshe uchaguzi ulikuwa kati ya CWT na ccm au Chadema na ccm? so what comes in btn CWT kuhusika hapa? Fafanua maana wasomaji wako hatupo huko wala hatufaham kilichokuwa kinaendelea. Nakupongezeni kwa ukamanda wenu uliotukuka..