ccm ccm ccm ccm


Masikini wee, pole sana..una kauvivu kakufikiri na wewe...
 

Hapana.. Waliogopa kuchagua matuci.. umacikini.. wizi na ufisadi.. Kama ni kweli CDM imeibuka kidedea litakuwa funzo kwa wapiga kura wa mtera kwa mhuni Lusinde matuci aka kibajaj..
 
Nguvu ya umma ndo the most powerful...!! So hayo mabomu ni moshi tu uatenda na upepo...!! keeps ya heads up comrades....!!
 
Ingekuwa CCM ndio maendeleo basi Dodoma ingekuwa juu sana maana hawajawahi kuipigia upinzani kura
 

hivi CT scan inatumika kupima ubongo?
 
Heading yako ni kama majibu ya vipimo cha ukimwi kwangu.
duu! kumbe tofauti sana
pipoz
 
Ni maendeleo ya kuigwa kama Mungu amewajalia CDM na siku hizi wanaruhusiwa kutumia mabomu ya machozi kwangu mimi haya ni maendeleo makubwa sana, tunashukuru kwa kutujuza hilo mkuu!
 
Peoples! Nitakuwa ni mtu mwenye furaha sana nitakapopata matokeo kamili ya ushindi wa nguvu ya umma. Tujuze kwa data manake hawa magamba hawachelewi kutumia ubabe na kujipa ushindi. Peoplez, powerz.
 
Pamoja wakuu,chadema safiiiii,nasikia hakuna magamba hata mmoja usa river,nimenasa mawasiliano ya sioi yeye amekubali matokeo.
 

nyambaf zako,wenzio wote wameshapelekwa apollo we unasubiri nini?
 
kama maandiko yanavyo nena......! Mungu akiwa pamoja nasi nani atakuwa juu yetu????
 
wa kutangaza matokeo ni Nape

na yeye kimoyo moyo anasheherekea ushindi wa CDM
maana mgombea wa ccm alitoka kambi anayoivua magamba
 
Maindi kijani, miti kijani, bendera kijani... Wasije wakasema na damu ni kijani. Ccm hoyeee! Sorry, hoiiii!
 

Najua hali uliyo nayo...na unavyojisikia....Poleni sana
 
wana jf macho yangu hapa ni Arumeru nimejianda kusherekea haijarishi nipo wapi nipeni utamu jamani komaeni hakuna kulala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…