RAJ PATEL JR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2010
- 743
- 168
Salama ,
Nimatumaini yangu ya kuwa wewe ni mzima kabisa na unaendelea na shughuli kama kawaida,Mkuu nilikuwa ninakuomba utuwekee tangazo letu letu hili la kikao cha shina hapa Reading,99% ya watu wanapitia blog yako ,kupitia viongozi wa shina basi wameomba uturushie hili tangazo.Nashukru kwa ushirikiano wenu
Wako
Hussein Chang'a (Katibu wa Shina Reading)
CHAMA CHA MAPINDUZI
SHINA LA CCM READING
KIKAO CHA SHINA - 25/09/2010 (Jumamosi)
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Shina la Reading . Mnakaribishwa kwenye kikao cha shina cha kila mwezi,ambapo tutajadili mambo mbali mbali yanayohusu shina letu. Jitokezeni kwa wingi ,mjulishe mwanachama mwenzako pia.
Anuani: The Warehouse
01 Cumberland Road
Reading
RG1 3LB
Muda: Saa 10 Jioni - Saa 12 Jioni.
Kutakuwepo na Kadi za CCM ambazo zitatolewa kwa Wanachama wapya na wale ambao kadi zao uanachama zimekwisha muda (Kadi paundi Tatu - £3, Ada ya mwaka paundi Kumi na Mbili - £12),Akikisha unakuja na ada ya Kadi
Kwa ufafanuzi zaidi tafadhali wasiliana na Katibu wa Shina;
Hussein Chang'a kwenye barua pepe: ccmreading2010@gmail.com
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI